Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wajaluo hua tunasema

'Hiyo? Hiyo mbona ni rahisi kama kupiga mke'

Anyway nina gloves za boxing kwa anayeona mkewe amezidi kua konkod.
 
Kumpiga Ke siyo sifa lkn kuna aina ya makosa yaliyovuka mipaka hadi Mke anakuona bwege usipomzibua hata makofi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakizingua na wapigwe kwa maana hakuna namna
Akinifumania bila uthibitiso atapigwa
 
Wako wanaume wengi udhani wameoa mke kumbe wameoa shetani. Mwanamke anakuwa na mdomo na ujuaji hataki kukaa sehemu yake kama mke na anataka kumtawala Mme. Nashauri vijana wanaooa siku hizi bora mkae mpenzi wako angalau miaka 5 ndo mfunge ndoa vinginevyo wanawake wa siku hizi ukikutana na haya mashetani utajuta au utafungwa au utaua. Unakuta mmeishazaa na watoto ukiwaangalia bado wanahitaji malezi yenu wakati limwanamke aliambiliki ndo maana wanaume unaamua ulitwange kisago cha maana akili ikae sawa. Maana ukisema ulifukuze yanakuja masheria ya kugawana mali wakati Mali hiyo jasho na nguvu za kuipata ni mwanaume. Mzee! Nakwambia ni shiidaaaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…