...Kwa hiyo PM siku hizi ina kiingilio kama mechi ya watani wa jadi?Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Unajiuza?Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Mzee pm ya huyo mtoto haujawahi kuingia?Mungu anisamehe nilichokiwaza kabla sjaandika
Hata kwa bahat mbaya mzeeMzee pm ya huyo mtoto haujawahi kuingia?
We na daby hamkosekani huko haki tena.Hata kwa bahat mbaya mzee
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money[/QUOTE
Kwanini na wewe unapenda kuomba hela ,? inamana we hujui hali ilivyo we mtu akupe teni la bure na hujafanya kazi yeyote....je akiomba ndogo utampa, hii ni dunia ya nipe nikupe, we must give in order to get, nothing is free....toa ili upewe..............
Aseeh afazali maana si kwa aibu hiziHata kwa bahat mbaya mzee
Hivyoo enhee sasa umejuaje kama hatukosekan? Ushakuwa mods sasaWe na daby hamkosekani huko haki tena.
Acha tu mzee unakuja kuanikwa mchana kweupeee dah!! Noma kwel.Aseeh afazali maana si kwa aibu hizi
Hahaha