Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Kenge nyie mkiuona mke wa mtu ameng'aa mnaanza kutema mate mtatapeliwa, leo ndio nimeona kwamba cc wanaume tupo tunaojua kutongoza na tusiojua kutongoza ila wajanja walishajua kuwa hizi c comments za dem
Ameng'aa wapi sura ngumu kama futali ya magimbi
 
Kenge nyie mkiuona mke wa mtu ameng'aa mnaanza kutema mate mtatapeliwa, leo ndio nimeona kwamba cc wanaume tupo tunaojua kutongoza na tusiojua kutongoza ila wajanja walishajua kuwa hizi c comments za dem
Ulikuwa unajifunza ushoga?
 
Ntajie namb y mkeo natak urafik nae, ila usijifanye tena wew ndo yy.. Sawa??
 
Kwa nini ujirahisishe kizembe hivyo...unategemea nikutumie 10000 wakati sijakuona?
 
Hawa watu nimegundua wana undugu na kimambi, si kwa kuanikana huko mchana kweup3ee!!! Aibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom