Wanaume 10 wapotea Morogoro

Wanaume 10 wapotea Morogoro

Unahitaji nn sasa tuje tukushikie miguu?? Hayo ni mambo yako binafsi mkuu muhimu ibilisi kapita hilo ndio kubwa
Wewe naye utapata kichaa cha mbwa bure kwanini usiangalie movie hata igizo la Kaole!
 
Kuna mambo manne hupaswi kufanya awamu hii, Ujambazi, Madawa ya kulevya, ujangiri na rushwa, ila kuna watu hawaamini bado
RUSHWA !watu mbona wanaendelea kuzipiga tu tena kwa kasi kuu.hata akija CAG hakuna hofu.
 
Ushauri wangu: Jifunze kutukana uwe na kitu cha kukubeba pale akili inapochemka.
Mkuu, kuna sehemu (shule/chuo) wanafundisha matusi?

Nachojua, ukiwa nyumbu, matusi yanakuja automatiki, hujali umri wa mtu, heshima yake kwenye jamii, aibu kwa jamii inakuonaje kwa hayo matusi unayotoa n.k.

Hakuna namna, cha msingi subiri ukomavu katika tasnia ya matusi, kwani ndiyo njia waliyoamua.
 
Watu 10 wote wakiwa wanaume wakazi wa vijiji tofauti vya kata ya Ruhembe wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro, hawajulikani walipo baada ya kupotea kwa siku 18 sasa baada ya wananchi wa kijiji hicho kudai kuwa watu hao walikwenda kufanya shughuli za kibinadamu katika hifadhi ya taifa ya Mikumi kinyume cha sharia.

Tukio hilo la kupotea kwa watu hao limetajwa kutokea mnamo Aprili mbili mwaka huu baada ya watu hao kudaiwa kuingia kwenye hifadhi ya taifa ya mikumi na kisha kushindwa kurejea kijijini hatua iliyopelekea wananchi kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama.

Kufuatia tukio hilo imemlazimu kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Wilbroad Mutafungwa kufika katika kijiji hicho nakuongea na wananchi kisha akawataka wananchi kuwa watulivu wakati jitihada za kuwatafuta watu hao zikiendelea.

Chanzo: ITV
watakuwa wameliwa na simbaaa
 
Back
Top Bottom