Wanathamini tool iliowaleta duniani eti!

Wanathamini tool iliowaleta duniani eti!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
268073_10150700872750711_884250710_19721855_1629614_n.jpg
 
Ni wapi hapo Mkubwa? Inaonekana kama CHINA AU INDIA. Ningelikuwepo na mimi ningetoa ya kwangu waiabudu. Teh teh teh.
 
Mmmmh its not fair, ilowaleta duniani ni ile ya kike kawa wangeflushiwa sijui wangekuwaje.
 
Mambo ya imani yananichanganya sana, kwamba wanaliabudu dick liwasaidie nini????????
 
Mambo ya imani yananichanganya sana, kwamba wanaliabudu dick liwasaidie nini????????

Hapo sasa..yani smile haachi vituko,..ulikua unanifariji sana nilipokua kifungoni (ban) na post zako..

Hivi Smile jamani kweli !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????

Haya bana wengine bize na rozali au tasbihi wao ndo kwaaaanzaaaa wamo kwa DICKson
 
hao watu ni wa taifa gani? mwenye kuwajua vizuri atupe khabari zao? je hapa bongo hawana wafuasi?
 
umekimbia hosp. kwa ajili ya kutuwekea hii,
au hii ndo ulokuletea ile balaa.
 
Ni wapi hapo Mkubwa? Inaonekana kama CHINA AU INDIA. Ningelikuwepo na mimi ningetoa ya kwangu waiabudu. Teh teh teh.

Bbibe kasema kwenye uzi fulani kwamba yupo India kwa matibabu, kufuatia tukio la jana ambapo alikunywa sumu bahati mbaya. Inaonekana matibabu yanaendelea vizuri sana. Tunaendela kukutakia afya njema sister!
 
hao watu ni wa taifa gani? mwenye kuwajua vizuri atupe khabari zao? je hapa bongo hawana wafuasi?

Watu wa Asia wanavisa sana. Bongo ingekuwa ile tool ya wanaotaka kuwezeshwa ingepata wafuasi wengi...
 
Back
Top Bottom