Naomba msaada wenu sim yangu haiwezi kudownload kwa kutumia opera niliyo install,bt inafungua almost page zote.nifanyaje ili niweze kudownload kile nachotaka!simu yangv ni sumsung GT-C3510

Sidhani kama simu yako inashindwa kudownload kwa kutumia opera mini. Nadhani wewe ndio utakuwa unakosea katika kusave files zako wakati wa kudownload. Kwa msaada zaidi PM me.