Wanatakiwa wafuatao: Suppliers wa vifaranga vya samaki, Incubators, chakula cha samaki na pembejeo

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Habari gani wakuu? Wale wote wanaojishughulisha na biashara zilizotajwa hapo juu naomba tuwasiliane.
Mimi ni mjasiriamali nilie na base kubwa ya wateja wa biashara hizo na ningependa kuingia mkataba na wafanyabiashara wa hizo biashara kama agent.
Kwa anaeuza vifaranga vya sato mikoa ya : Tanga, Manyara na Moshi, naomba tuwasiliane mara moja bila kuchelewa.
 
Back
Top Bottom