Wanatakiwa haraka sana watu wenye sifa zilizotajwa kwenye mada hapo juu. Maelezo ya ziada ni:
- Awe amemaliza chuo au college katika fani hizo.
- Awe mkazi wa IRINGA, MBEYA, MTWARA na MWANZA
- Si lazima uzoefu kwani mafunzo ya kazi yatatolewa.
- Anayehitaji awasiliane kwa PM na
View Profile: Mamushka - JamiiForums | The Home of Great Thinkers