Wanatakiwa Engineers wa Electronis na Telecomunications

Kwanini mtu aku PM weka mambo hadharani kwa kuweka kila kitu bayana!
Mkuu, asante kwa ushauri wako, lakini mimi sio muhusika mkuu. Niliona ujumbe pahali nikaona niuweke hapa ili ikiwa wako wanaohitaji wafuatie maelekezo na wafuatilie kwa mhusika.
 
kaka hapo ulipoona hata jina la kampuni hawakukupa aiseh....au hata namba zao za simu...???au njia yeyote ya kuwapata.???kwa sababu hapa hata hatujui tuanzie wapi
 
kaka hapo ulipoona hata jina la kampuni hawakukupa aiseh....au hata namba zao za simu...???au njia yeyote ya kuwapata.???kwa sababu hapa hata hatujui tuanzie wapi

Mkuu, kwenye tangazo nimeweka wapi ambako wanaotaka wanaweza kuPM kwa mhusika na kupatiwa maelezo zaidi. Unaweza kuPM link iliyopo hapojuu na ambayo pia ipo kwenye post hii:#1
 
Asante kwa wote walio nitumia namba zao, maelekezo na maelezo yote kuhusu kampuni,
nitawapatieni na jinsi ya kufanya.

ANGALIZO

please awe ni mtu wa eneo hilohilo lililotajwa, na pia awe amemaliza chuo na hajapata kazi bado.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom