inaonesha angekua mkubwa ungeruhusu wamLALE.Habari wana Jf.... Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo.... Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu Asanteni sana
Nikimpa sehemu ya field atanipa nini?
Habari wana Jf....
Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....
Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu
Asanteni sana

habari wana jf....
Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia diploma ya business administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... Na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. Mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... Majibu ni hayo hayo....
Yupo arusha na angependelea kupata field arusha... Naombe msaada wenu
asanteni sana
Mimi ni Mwanamke na nimesha pitia vipindi kama hivyo mara kadhaa. Muhimu ni kua wazi tu: ajibu kwamba anatafuta kwenda field, sio boyfriend ao mtu wa kulala nae. Jibu langu ni hili: Tuongee kwanza vya field sababu ndivyo vilinileta. Sina tabia ya kudevelop relation zingine hasa na watu nisio wajua. nikisha pata hiyo field attachment ndio nitaweza kuongea vingine. then akisha pata anamwambia tu: sorry, I am not interested. it sounds too easy to work but I can tell you, it does!
Habari wana Jf....
Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....
Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu
Asanteni sana
Be careful na mdogo wako. Haiwezekani KILA OFISI aombwe rushwa ya ngono. Kuna mawili, atakuwa mapepe sana au hana sifa za kuchukuliwa, anaishia kutoa visingizioHabari wana Jf....Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenuAsanteni sana
Du poleni sana kwa mitihani hiyo. Msaidie wewe mwenyewe kwa kumtafutia sehemu ambazo unapaamini. unajua siku hizi maadili yamepolomoka sana na dada zetu wamekuwa hawaambiliki kwa kuvaa mavazi yasiyo kuwa ya sitala yaani hutembea uchi wakidhani wamevaa nguo kwahiyo wanapokutana na wanaume ambao wana pepo la ngono lazima watawataka tu kimapenzi kwani muonekano wao hao madada huwa ni wa kushawishi ngono. naamini akienda amejisitili kwa maana ya kujistili hata huyo mtu itakuwa ngumu siku hiyohiyo amuombe ngono. ebu muangalie dada yako anavaaje kisha mshauri.Habari wana Jf....
Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....
Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu
Asanteni sana
nilitegemea wewe ni mtu mzima kumbe ndo nyny mnaoweza kulala na watoto wenu dah? Pole sana nilifikir unaakil timamu kumbe zeroMwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams
BushBaby nakupa pole sana na usumbufu huo uliompata mdogo wako! Hii nikawaida kwa wanaume wakware kwa hii tabia nakumbuka ule usemi alioutoa muheshimiwa JK alisema eti ukitaka kula na wewe ujue kuliwa!