Wanatafutwa wakala wa POPO media (mikoani na wilayani)

popo_tanzania

Member
Oct 3, 2012
5
1
POPO media (wamiliki wa POPO.co.tz - The place to rent anything!) wanatafuta mawakala kutoka mikoa/ wilaya zote za Tanzania. Mawakala hawa wanatakiwa kuwa ni:
- Vijana waliomaliza elimu ya sekondari (kidato cha nne) na kuendelea.
- Wenye ujuzi wa computer na internet/ email.
- Wenye ujuzi wa marketing/ ushawishi kwenye jamii inayomzunguka.

Yeyote mwenye kukidhi vigezo hivyo hapo juu anaweza kuwasiliana nasi kupitia POPO.co.tz - The place to rent anything!, nenda kwenye page ya contact us. Andika Email yako, na kwenye your message andika jina lako kamili, elimu yako, kazi unayofanya kwa sasa na wilaya/ mkoa unaotokea.

Kazi hii ni ya part-time sio full-time, so wote mnakaribishwe.

--
POPO Team
 
Back
Top Bottom