Wanasubiri Gwajima aingie mtegoni wabonyeze button, wammalize

Gwajima huwezi kumteka kindezi kwa ulinzi wa kufa mtu alionao, itabidi ufunge mtaa kwanza na mkono upigwe kisawasawa uwashinde walinzi wake ndio umbembe mzobezobe umtupie garini halafu gari litoke nduki wananchi wenye hasira wasijue nini kimetokea. Kwanza yeye mwenyewe yuko full mkoko ukiingia vibaya unakula shaba. Huyo si kama wale waliotekwa na kushambuliwa kindezi
Kuuliwa huyo simple sana..unaishi karne ya 1st Dimension wakati duniani tupo level za 7th dimension fungua code kama utaweza
 
Ndo ukubwa wa ccm mbunge wa ccm kawatoa chama flan kwenye no rifomu no elekisheni anawaimbisha gwajimenesheni 😁😁
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.

Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Kwanini watanzania mnafurahia myu akiumizwa?
 
Mliongea maneno kama haya, haya kabla father KITIMA hajavamiwa. Now,, naona mnarudia yaleyale....
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.

Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Kwa hiyo mnaogopa si mda mrefu mtaanza kutajwa mmoja baada ya mwingine mpaka na Papa wenu?
Yaani mkitaka kuumbuka mum fate kichwakichwa,bosi wenu tu presha imemshika,mmekutana na jabali Gwajiboy
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.

Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Unajimanua manua makalio hapa jukwaani ili kujionesha jinsi gani ulivyo mpumbavu wewe
na wenzako
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.

Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.

The only weapon ni kumuua na kumteka, hakuna lingine, Kama ni Hilo basi hii style itawacost wahusika this time
 
Gwajima huwezi kumteka kindezi kwa ulinzi wa kufa mtu alionao, itabidi ufunge mtaa kwanza na mkono upigwe kisawasawa uwashinde walinzi wake ndio umbembe mzobezobe umtupie garini halafu gari litoke nduki wananchi wenye hasira wasijue nini kimetokea. Kwanza yeye mwenyewe yuko full mkoko ukiingia vibaya unakula shaba. Huyo si kama wale waliotekwa na kushambuliwa kindezi
Kismingi mwana harakati na anayempinga samia kwa sasa anatakiwa awe na shaba asije akatekwa kama kuku. Lazima ujiteteee lasivyo utasahaulika kama Mdude.

Hakuna kutekwa kiboya.
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.

Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Unafurahia CCM kutotaka kuambiwa ukweli au?
 
Mdude ameumiza sana watu aisee acha tu..
Tulia akianza kampeni muulizeni ulisema hakuna utekaji na ukazuia hoja ya utekaji bungeni sasa ili upate kura yetu tuambie alipo mdude. Kiufupi anzisheni kampeni dhidi ya tulia juu ya mdude.
 
Watu kibao washapotezwa nchi hii lakini kila siku anakuja mwingine …
 
Magufuli yupo wapi?

Yeye ndio muasisi wa hayo mambo.

Power is transient.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom