kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,303
- 2,767
ukitaka kuishi vizuri hapa duniani,achana na wake za watu,dhuluma,wizi,utapeli,ushirikina na"ogopa sana SERIKALI' ukiweza kuwepa izo mamboutaishi masha marefu sana,,, kwepa sana kupanda bodaboda na kunywa pombe kali!!Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.