pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,645
- 14,804
Ukimfuatilia gwajima speech zake unaona ni mtu anapenda sana kusoma vitabu kuna siku ilikuwa anachambua kitabu cha "THE ART OF WAR" kanisani kwake ila huwezi kumuelewa kama sio msoma vitabu. Ninachotaka kusema labda wampige risasi au wamroge lakini kwa njia yoyote ile hawataweza inaonekana amesoma sana vitabu vya kijasusi kipindi cha corona aliitwa kwenye kamati ya maadili akakataa kiti na mike. Mpaka hapo inaonekana gwajima amechukua tahadhari zote na anawajua CCM nje ndani na yupo tayari kwa lolote mpaka sasa ngoja tunywe supu nyama Ziko chini.Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.