Wanasubiri Gwajima aingie mtegoni wabonyeze button, wammalize

Wanasubiri Gwajima aingie mtegoni wabonyeze button, wammalize

Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.

Hakuna button yoyote hapo. Hii ni kupinga utekwaji dhidi ya kuunga mkono utekwaji! Button inatoka wapi sasa?
 
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
kuna mtu hapa jf nilimwambia we si unapenda ccm utakufa mpaka leo sijamuona sasa zamu yako.kama sio wewe unaishi nao sitaki vilio maana wengine machifu
 
Mkuu wa Idara ya watu kujifanya wa mifumo, inabidi aliongelee hili. Kila takataka sasa hivi inajifanya ni mfumo. Sasa kalunguyeye kama wewe, nawewe eti una za ndani za Gwajima anachotakiwa kufanywa 🤣🤣🤣🤣🤣. Acheni kuchekesha vichekesho visivyochekesha. Unaipenda hiyo kazi eeh?
 
Kuna muda mtajikuta mnashindana na Mungu. Mambo yote anayoongea Gwajima ni yale yaliyokatazwa na Mungu kuanzia utekaji hadi mauaji.


38 “Kwa hiyo, kwa kesi hii nawashauri waacheni watu hawa wala msiwatendee lolote, kwa maana kama mpango wao na kazi yao ni mambo ya wanadamu hayatafika popote; 39 lakini ikiwa ni kazi ya Mungu hamtaweza kuwazuia. Badala yake huenda mkajikuta mnampinga Mungu!”

Matendo ya Mitume 5 : 38 - 39.
 
wakibonyeza tu kashasema next press zitakuwa za moto maana atapasua yote....take note Gwajima sio mjinga anajua kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia
 
Ni sawa gwajima kasema. Hebu ya gwajima tuyaweke pembeni maana nako haaminiki saana mwanasiasa yule mchungaji. Tuzungumzie habari za kuachiwa kwa lissu, huo ndio mtiti mkubwa kuliko wa gwajima. Gwajima aje afanye kolabo tu na lissu ishu ya utekaji na upoteaji wa raia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom