Wanasimba popote mlipo kuweni macho

Wanasimba popote mlipo kuweni macho

Nenda kwenye majukwaa mengine ukaone michango yangu ilivyo ya maana.
Usidharau michezo hata huko first world wanajadili michezo na wametuzidi kwa michezo yote na maendeleleo ya sayansi, tech, uchumi na Elimu.
Kuwa na kiasi
Jadili michezo lakini usizidi
Huo ni uzuzu kujadili mamipira kila wakati
 
Sahihi kabisa na moja ya jambo la kwanza watakalotaka kufanya ni kuhakikisha fainali haichezwi kwa Mkapa. Watatumia watendaji wa serikali, meneja wa uwanja, wakaguzi na wengine kufanya hujuma hiyo. Tayari dalili nimeziona. Ukiniuliza mimi nitakwambia mpaka sasa naona uwezekano wa 70% hadi 80% ya fainali kuchezewa Zanzibar.
LoL!
Na kingine nimesikia eti Mwigulu nae anaenda kuangalia mechi ya awali huko Morocco wakati Mwigulu kutwa kucha kushirikiana na Yanga kupitia Singida Big Star kuihujumu Simba.
 
Kwahiyo, hayo unayotaka yajadiliwe, ifanyike hivyo kwenye jukwaa la michezo..??? Na majukwaa ya siasaa (Katiba mpya), Ajira za vijana, Kilimo, Technology, Biashara n.k kujadiliwe vitu gani.

UJINGA NA UFALA NI PAMOJA NA KUJADILI MAMBO KWENYE MAENEO YASIYOHUSU MAMBO HAYO
Kuwa na kiasi
Wenzenu wanajadili mpira kisayansi, kama biashara
Nyie Watanganyika mnajadili kurogwa, mara kufukia mbuzi
Mpo timamu kweli?
 
FB_IMG_17459976350618078.jpg
 
Kuwa na kiasi
Jadili michezo lakini usizidi
Huo ni uzuzu kujadili mamipira kila wakati
Ungekua na kiasi Cha kujadili masuala ya michezo wala mada yangu hii usingeiona,maana muda wote ungekua kwenye majukwaa mengine ya maendeleo.
Lakini kutwa kucha umo humu unafatilia Kila kilichoandikwa.
Sema TU mada yenyewe imekutia hofu.
 
Niko hapa kujadili sayansi ya michezo sio ujinga wako wa majungu na ushirikina.
 
Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.

Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.

Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.

Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.

Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.

Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.

Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.

Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC

Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.

Fainali ni vita kama vita nyingine.
No Reform no truphy
 
Hao wameanza kupokea wageni toka kitambo
 
Simba na Yanga hata wachukue kombe la Dunia, Watanzania wenzetu hawana madawati, hawana madawa, hawana maji n.k itafaa nini?
Tuwe na kiasi kujadili haya mamipira
Jukwaa la michezo lazima lijadili michezo boss.

Kila jambo na mahali pake kwa muda wake.
 
Back
Top Bottom