Wanasimba popote mlipo kuweni macho

Wanasimba popote mlipo kuweni macho

Kwa akili hizi, Wacha bandari ziuzwe
Tumekemea sana kuuzwa kwa bandari kwenye majukwaa ya siasa,bado bandari ikauzwa.
Kuna watu wanashinda kule jukwa la siasa,sijui wewe mwenzetu unaogopa Nini huko na umeng'ang'ania huku.
 
Hali ndio kama hivi,lakini bado naona Simba atamshinda RS Berkane huko Znz.
 
Sahihi kabisa na moja ya jambo la kwanza watakalotaka kufanya ni kuhakikisha fainali haichezwi kwa Mkapa. Watatumia watendaji wa serikali, meneja wa uwanja, wakaguzi na wengine kufanya hujuma hiyo. Tayari dalili nimeziona. Ukiniuliza mimi nitakwambia mpaka sasa naona uwezekano wa 70% hadi 80% ya fainali kuchezewa Zanzibar.

View: https://vm.tiktok.com/ZMSFxCkHm/
 
Haya ndiyo mambo ccm wanapenda kuona waTanganyika masikini mkikesha nayo usiku na mchana
Hawataki wajadili kuwa Tanzania hii tunaweza kulima na kuzalisha matairi ya boda boda, dala dala na malori hata yasitoke China na watu wakapata hela.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom