Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,306
- 7,239
Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.
Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.
Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.
Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.
Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.
Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.
Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC
Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.
Fainali ni vita kama vita nyingine.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSe2cwPN/