Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wazanzibar hawajui wanawakilisha nini kwenye JMT. Hawajitambui hata wabunge wao hawaeleweki bungeni wanawakilisha nn. Huwa waniacha hoi unapokuta wanashupaa na ishu ya wachimbaji wadogo wa dhahabu wa Geita wakati jambo kama hilo halina effect yoyote kwa Zanzibar.
haha..ndivyo hivyo hivyo wakirudi kwao huwa hawana cha maana cha kuongea na wengine.Ni kujaribu kuwaonyesha kuwa wanathubutu kuulizia muungano wakiwa Tanganyika.