Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Kwangu mimi
1.kassim majaliwa
2.suleiman jaffo
3.ummi mwalimu
4.joseph haule
5.makame mbalawa
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Jafo is overrated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mh. Mbowe
2. Mr Lukuvi
3. Magufuli
4. Heche
5. Gambo - Kwa sasa amebadilika sana, amekuwa na utu na maturity level yake imeongezeka sana.
Namba tano jamaa kakomaa sana na amegundua makosa yake mengi sana na amejirekebisha mno....he is geting big siku baada ya siku
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
Naunga mkono hoja
P.
 
3.Mama Makamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
P.
 
huyu Mama Samia
Kwangu mimi ndiyo mwanasiasa bora zaidi Tz yuko mojakwamoja kwenye siasa.
Naunga mkono hoja
P.
 
Naunga mkono hoja
P.
 
1st,Samia Suluhu Hassan [emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
P.
 
1. Mbowe
2. Prof Mbarawa
3. Lema
4. Makamu wa rais
5. Halima Mdee
Magufuli
Majaliwa
Jaffo
Mtaka
Baba Levo (huyu jamaa inabidi umsikilize akiwa jukwaani ndio utaelewa kwanini aliwekwa ndani, ana kipaji cha kuhamasisha)

Hila kwa kiongozi bora kwangu ni IGP Sirro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uzuzu kumtaja majaliwa na samia bila kumtaja bosi wao maana chochote wafanyacho kimeamliwa na magufuli.

Hata hivyo samia na majaliwa hawawezi kuwa bora maana hawana uwezo wa kupingana na magufuli hata siku 1.
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Tundu Lisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mbowe
2. Prof Marawa
3. Lema
4. Makamu wa rais
5. Halima Mdee

Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you

Hapo labda Lema naweza kusema ndio alieonyesha kukuwa kisiasa.

Mbowe kafanya nini cha maana; zaidi ya kujinunulia zawadi, kujitumia kwa njia ya wakala, kujipiga piga picha akiwa anakabidhiwa zawadi na halafu kushangalia kama vile suprise.

Pretty much huo ndio uchaguzi wa CDM chini ya Mbowe.
 
Hao wako wewe

Ebu jaribu kutafuta video ya ‘baba levo’ umsikie akiwa anaongea siasa jukwaani.
Baba levo namkubali sana, kuanzia song lake la "Wanyeee" .....wanashikilia tufe wakidhani ni mpira, huku wanakula karanga kumbe ni mavi ya mbuzi.... huwezi kupiga mgumi huku vidole vina viinyama....Baba Levo nomaa.
 
Back
Top Bottom