Hawa ndio watakao faa kutuongoza 2030.

Hawa ndio watakao faa kutuongoza 2030.

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,143
Kwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,

1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.

Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.

Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.

Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.

Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
 
Dotto Biteko, ni mtu wa kanda ya ziwa lakini hana makeke na roho mbaya za kijinga. Hajikwezi kama wanasiasa wengine.
 
Makonda ni mpumbavu. Aliye mpandisha daraja mpaka hapo hakutenda sawa.Bwana mdogo yule akili hana kabisa(Bingwa wa kupenda kamera,nyuma ya pazia ni shetani katika mwili wa binadamu)
Kuna Sabaya na Mrisho Gambo mbunge wa Arusha aliyekatwa jina, hao wote ni mabwana wadogo nyoko sana.

Pamoja na ujinga wake ni mtendaji mzuri, imani aliyonayo Samia ambayo inatokana na namna JPM alivyomkubali.
 
Toa askofu, toa wa kolomije
Askofu nimemuweka kwasababu ya serayake ya maono ya taifa.
Kwamba ataweka sheria ambayo itamlazimisha rais atakaekuwa madarakani afuate mpango mkakati wa maendeleo ya taifa na asianzishe mipangoyake binafsi isiyo na tija kwa taifa.
 
Makonda hafai kuongoza kuanzia ngazi ya kaya mpaka taifa(Ni mpumbavu).Hao wengine sawa.
Makonda usimdharau mkuu, rais wa nchi anatakiwa awemtu mwenye kauli na asieingiliwa kwenye utendajiwake kirahisi.

Lazima awemtu shupavu na sio muoga Makonda namuona anauwezo wakusimamia anachokiamini na hawezi kuyumbishwa na wahuni.
 
Askofu nimemuweka kwasababu ya serayake ya maono ya taifa.
Kwamba ataweka sheria ambayo itamlazimisha rais atakaekuwa madarakani afuate mpango mkakati wa maendeleo ya taifa na asianzishe mipangoyake binafsi isiyo na tija kwa taifa.
Askofu haeleweki bhana naye kigeu geu tu maana wakati akiwa na M4C alionekana kweli mwanaharakati ila baada ya kupewa jimbo uanaharakati ukaishia wapi? Naimani wakishakaa wakaongea hayo atayasahau...kwa askofu hakuna mtu hapo
 
Kuna Sabaya na Mrisho Gambo mbunge wa Arusha aliyekatwa jina, hao wote ni mabwana wadogo nyoko sana.

Pamoja na ujinga wake ni mtendaji mzuri, imani aliyonayo Samia ambayo inatokana na namna JPM alivyomkubali.
Utendaji mzuri nikigezo muhimu sana kwa kiongozi mkuu wa nchi.

Utendaji ndio sifa kuu.
 
Askofu haeleweki bhana naye kigeu geu tu maana wakati akiwa na M4C alionekana kweli mwanaharakati ila baada ya kupewa jimbo uanaharakati ukaishia wapi? Naimani wakishakaa wakaongea hayo atayasahau...kwa askofu hakuna mtu hapo
Trust me, akiwa kiongozi mkuu wa nchi anauwezo wa kusimamia maonoyake.

Amini kunaviongozi wengi tu wazuri lakini wanaogopa kuonyesha uwezowao wakizalendo kwasababu ya muelekeo wa mkuu wa nchi.
 
Lucas Mwashambwa hajapenya hata kwenye List ya Kina Mwijaku?😅😅😅
 
Weka Tate Mkuu hapo juu kabisa ili aje aiondoe Tanganyika kutoka kwenye Muungano na wale watu wasio na visogo, ndani ya siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa Rais.
1. Ana elimu ya kutosha, na pia siyo ya kufoji cheti kama ile ya BASHITE.
2. Ni Mzalendo na mpenda nchi yake.
3. Ana haiba ya urais
4. Ni mtu wa reasoning
5. Anatokea Tanga ya milimani, na siyo ile ya Pwani.
5. Ni mpinga rushwa na ufisadi.
 
Makonda usimdharau mkuu, rais wa nchi anatakiwa awemtu mwenye kauli na asieingiliwa kwenye utendajiwake kirahisi.

Lazima awemtu shupavu na sio muoga Makonda namuona anauwezo wakusimamia anachokiamini na hawezi kuyumbishwa na wahuni.
Makonda sasa ni muhuni tena muhuni mshamba.Maana wahuni ninao wajua huwa hawatumii mabavu.Makonda ni mzuri ukiwa unaona utendaji wake kwenye media.Toa hizo media muone nyuma ya pazia ndio utajua huyu jamaa sio mtu kabisa
 
Back
Top Bottom