Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
 
Gambo kwa lipi? Mweh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
kwa.waliovuma au waliofanya vyema, inategemeana na vigezo.

Gambo naona umeamua ili kubalance stori
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
1.Tundu Lissu
2. John Heche
3.Sugu
4. Mkuu wa mkoa Mataka.
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Hivi huyu Mama Samia na Majaliwa huu ukweli wanausemea wapi? Au wanachagua mambo ya kuyasemea ukweli!
Kwangu mimi Shangazi ndiyo mwanasiasa bora zaidi Tz hata kama hayuko mojakwamoja kwenye siasa.
 
Magufuli
Majaliwa
Jaffo
Mtaka
Baba Levo (huyu jamaa inabidi umsikilize akiwa jukwaani ndio utaelewa kwanini aliwekwa ndani, ana kipaji cha kuhamasisha)

Hila kwa kiongozi bora kwangu ni IGP Sirro.
 
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.

1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Dr Magufuli

Dr Bashiru

Nape Nauye

Cecil Mwambe

Dr Msukuma
 
1. Mh. Mbowe
2. Mr Lukuvi
3. Magufuli
4. Heche
5. Gambo - Kwa sasa amebadilika sana, amekuwa na utu na maturity level yake imeongezeka sana.
 
Magufuli
Majaliwa
Jaffo
Mtaka
Baba Levo (huyu jamaa inabidi umsikilize akiwa jukwaani ndio utaelewa kwanini aliwekwa ndani, ana kipaji cha kuhamasisha)

Hila kwa kiongozi bora kwangu ni IGP Sirro.
1. Roma mkatoliki
2. Stamina
3. Marioo
 
Back
Top Bottom