Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Wanasiasa wangu bora 5 kwa mwaka 2019

Baba levo namkubali sana, kuanzia song lake la "Wanyeee" .....wanashikilia tufe wakidhani ni mpira, huku wanakula karanga kumbe ni mavi ya mbuzi.... huwezi kupiga mgumi huku vidole vina viinyama....Baba Levo nomaa.
Nyimbo zake kwakweli sizijui, mie nimefuatilia upande wake wa siasa baada ya kukamatwa na kujifunza ni mwanasiasa wa aina gani.
 
Back
Top Bottom