Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,173
- 27,223
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?
Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.
Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.

- Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
- Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
- Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
- Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
- Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.