Wanasiasa - Video hii ya North Mara na Barrick mmeiona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa - Video hii ya North Mara na Barrick mmeiona?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MchunguZI, Jun 19, 2011.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nimejikuta sina raha!
  Yawezekana video hii ulishaiona ktk forum hii, binafsi sijawahi. Asante wana Toronto.

  Wale ambao hawajawahi kuiangalia, ipe nafasi;

  bofya:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. S

  Shiefl Senior Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is so sad that we are left with holes and people suffered from these skin diseases while the company is enjoying supernormal profit. This is the time we should say no to these exploitation and damages to human, animals and environment.
  We should keep into accountability those who has involved in these scandals until the last minute
   
 3. N

  Ngo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inatia hasira sana jinsi watu wanavyonyanyasika katika nchi yao kwa sababu ya watu wachache wasiyo na Utu, wanaojari
  kushibisha matumbo yao bila kufikiria cheo ni dhamana na duniani wote tunapita. Hakika rushwa ni Ugonjwa mbaya sana katika jamii.
   
 4. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Inauma sana? Kwetu viongozi wako kimya.
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe jamaa wanamuhonga mpaka rais, shame on you JK, ndio maana wanaua hata hawachukuliwi hatua yoyote na wanazidi kulindwa. Its so sad. Naamini Mungu atatoa hukumu ya haki kwa wote walioshiriki kwa namna yoyote kutesa raia hawa wasio na hatia.
   
 6. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  duh!
  hii inatisha, hivi wanaharakati wetu wako wapi? wapi Deus Kibamba,wapi mama Ananilea Nkya,wapi Francis Kiwanga and Co?
  inaumiza sana, uchunguzi wa wabunge uchwara wa Magamba hautatusaidia kitu, kama wanaparurana kwa posho ya 70K TZS je marushwa manene ya BARICK wanayaruka kweli? inahitaji ujasiri wa Kiungu kupambana na uharamia huu....

  Kuna watu wengine wanasema eti hatuwezi kuwafanya kitu kwa kuwa tulisign mkataba, sidhani mkataba ulijumuisha ukatili huu??!
  Kama nikiwa Rais nitakuwa dictator for at least 3 yrs kuwashughulikia wenye nia ovu dhidi ya raia wangu...ntafunga watu wote wanaonyamazia hali hii, hakuna cha mahakama wa nini...kama kuna watumishi wa issues za mazingira wanashinda kwenye viyoyozi halafu mie niwaache kisa utawala wa sheria!..nyambaf.
  watumishi wa mazingira wote wapo Dar na bado viwanda vinatiririsha majitaka kwenye makazi ya watu i.e. TBL,KTM n.k kwa nini?? kwa nini??
  agriiiiiiiiiiiiiiiiiii!ahuuuuuuuuuuuuuu! napata hasira.
   
 7. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mbona vyombo vya habari nchini havituoneshi haya? Je, hawana uzalendo pia kama CCm na serikali yake?

  Pili, kama muamar ghadafi ameonekana mbele ya jumuiya ya kimataifa hana sifa tena ya kutawala nchi yake kwa kuwa amegeuka muwaji wa raia anaowaongoza; imekuwaje serikali ya CCM haifananishwi na ghadafi? UNAFIKI WA WAMAREKANI NA WAZUNGU WA ULAYA WOOTE!!!!!
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,892
  Trophy Points: 280
  Nimelia machozi,sasa naanza kuona nini maana ya kujitoa muhanga
   
 9. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii link ya video ingewekwa hapo juu kabisa jamii kila mtu akiingia tu jamii anaiona
  ni ujumbe mzuri kwa watanzania
   
 10. M

  Masuke JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Very sad.
   
 11. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Its sad, confusing and untorelable. We have to do something. Something have to be done. Ready to die and for this, life has no meaning.
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  its very sad, tanzania hii,, kaka kibamba deus mwana Malangali where are you please na wanaharakati wote hili c la kunyamazia!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana,
   
 14. kibavu

  kibavu Senior Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Global Apartheid...That's all what I can say regarding this video and what's happening in North Mara. Apartheid manipulating itself in different forms across different geographical places.
   
 15. L

  Landson Tz Senior Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Akili kumkichwa. Tuamue sasa, saa ya ukombozi ni sasa
   
 16. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kuna Makubwa zaidi ya hayo migodini, huko North Mara kunawakati alikuwepo GM kutoka Australia akiitwa Bill Macnevin, niliwahi msikia akisema "Rais Wenu hawezi kufanya Kitu, itakuwa Mbunge, Wabunge, Wakuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa wote waomba lift kwenye Ndege yetu".

  Migodini kunazaidi ya Watanzania Wajuavyo ni SA mpya.
   
 17. W

  We know next JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunangoja nini kuung'oa utawala huu kwa Maandamano?
   
 18. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huu ni unyanyasaji wa ubinadamu then madam anazuia kuhoji.it is so painful
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwa hali hii nikishika jambia kuna wa kuniuliza?
   
 20. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  SISI WATANZANIA TUNA HURUMA SANA HURUMA YETU IMETUPONZA MPAKA TUNAFANYIWA HIVI NA TUNANYAMAZA KIMYA, TUNAPORWA RASIMALI ZETU NA KUNYANYASWALAKINI TUPO KIMYA, WAHENGA WANASEMA KIMYA KINGI KINA MSHINDO. LAKINI IS TOO LATE

  ANGALIA VIDEO HII
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...