Wanasiasa uchwara wakwama kwenye igizo lao huko Tabata

We huna akili. Unashauri watu waendelee kufanya kazi kukuza uchumi, upi? Hukusikia uchumi kipindi cha jpm ulikuwa unaporomoka kwa speed kubwa kisa hakuna demokrasia wala katiba yenye misingi ya kukuza uchumi.

Sasa unawashauri watu wafanye kazi zipi ambazo hazipo. Katuba mpya ndo inaleta kazi na shughuli za kufanya mana wawekeza watawekeza kwa wingi na uhuru kiasi ambacho weww na mimi tutapata kazi za kufanya ama kwa kujiajiri au kwa kuajiriwa.

Huoni kipibdi cha jpm ajira zote ziliyoyoma mpaka graduates wanajiua kw stress huka anatupiga kamba eti uchumi unakua.

Uwe unajifunza uchumi maana yake nini hata kama una akili kisoda ila angalau ujifunze usibaki na akili mgando.
Kwa akili yako mbovu,unafikiri akiingia Lissu au Mbowe kuwa Rais ,ndio watanzania wote watakuwa na maisha ya juu?Huu ni upuuzi mtupu.Ni mbinu ya watu wachache kutaka madaraka ,ili wajinufaishe na familia zao.Ni mbinu ya kutumia watu wengi kutaka mafanikio ya wachache.Ni wapi afrika ulishasikia hao wadai mabadiliko wamefanikiwa na kusababisha kila mwananchi kuwa na nyumba?
 
Kwa nini tusiseme pia samia na maccm wengine nao wanataka kuninufaisha kama uongozi ni kujinufaisha basi wote wanapaswa kujinufaisha siyo lazima ccm ndo ijiinufaisha miaka nenda rudi. Kwani kuna kosa gani akina mbowe wakijinufaisha badala ya samia kujinufaisha mwenyewe
 
TRA, kubambikiza watu kodi zisizo halali kwa ama kuwakomoa, ama kutengeneza mazingira ya rushwa huku wakiwatishia kama watashitaki popote mtandao wa wafanyakazi hao utawabamkikiza kesi za kutakatifisha fedha na kukwepa kodi, labda wahame nchi.
Howcome pamoja na hizo changamoto za TRA, bado wanaoongoza kwa mafanikio nchini ni wafanyabiashara unlike watumishi wa umma wanaokatwa juu kwa juu ?
 
Back
Top Bottom