Wanasiasa tuokoke kama Jerry Muro.

Kwani yeye amesemaje baada ya kupokea neno
 
Ameenda kuosha nyota,atubu nini sasa kweni amekuwa god father?!!
 
Kwani ukienda kwa TB Joshua ndio umeokoka?!!........Wengi wanaenda Nigeria kuchukua dawa za " mvuto" waweze kukubalika na watawala!
Naona unaanza kufunguka macho ewe kipofu wa lumumba
 
Kwani alitaka kuuawa au kutekwa mpaka kusema kaokoka?

Kaenda kusafisha nyota
 
Mwambie Mkulu angalii Wachagga hata uingamize CHadema yote wewe.Nacheka kwa sauti ujueeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…