Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,680
Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.
Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.
By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?
Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.