Wanasiasa sasa waiogopa Taifa stars, wakaa mbali!

Chezeya Wabongo weye! Tumeisusa timu na kuombea ibamizwe.
Lakini umeona trick ya mleta mada? Eti wanasiasa wameharibu kisha anamtaja Ndugai na Pierre.
Anashindwa kusema wazi kuwa Makonda ndio kaleta gundu kwa stars hadi ikachukiwa na watu wote baada ya kusema kuwa Stars eti inatekeleza ilani ya ccm na kuwa inaunga mkono juhudi za Jiwe!
Sasa hivi hata hamu ya kusogelea haipo
 
Hahahaa...... Wapi nimemtaja Ndugai?!!!
 
Kwa vile Rais JPM ameamua kumuenzi JK Nyerere kwa vitendo basi achukue muda kujua kwa nini Nyerere hakuwa na mpango wa kihivyo na soka la Tanzania. Hamna mahali ambapo ni rahisi kwa mahasimu wako kukuhujumu kama kupitia soka la Tanzania. Kumejaa fitina na uswahili mtupu huko kwenye soka na mwanasiasa makini yeyote wa Kitanzania atakaa mbali na umaarufu wa kupitia soka.
 
Bora sasa wazalendo halisi tutaishabikia timu yetu maana watu wa siasa chafu wanaosaka kiki za kipuuzi wamekaa pembeni.
Kwanza watutamkie wazi kwamba si timu ya chama chao bali ya watanzania ndipo itaungwa mkono.
 
Back
Top Bottom