Wanasiasa sasa waiogopa Taifa stars, wakaa mbali!

Wanasiasa sasa waiogopa Taifa stars, wakaa mbali!

Wabunge na wanasiasa wengine ni kama wamejitenga na timu ya taifa iliyokoKenya kukipiga na Harambee stars

Mbwembwe za akina Pierre na mwenzie Haji Manara hazipo tena, kulikoni?!!!
Hao unaowataja mbona siyo wanasiasa? Au unaogopa kutekwa?
 
Ngoja tuone...

Labda hawajapata kugawana harambe na michango ya timu...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom