Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

Kitendo cha wewe kuwaweka H Mdee na Mbiombio hata wewe nimejikuta nakuona ndezi/pimbi!
Mimi nakubali naweza kuwa ndezi/pimbi kama ulivyoniona,LAKINI unadhani chadema walikuwa wajinga kumpa cheo Halima? Au KAWE pana mandezi kama mimi mpaka wakubali kuwakilishwa na huyu binti? KUNA wasomi wengi CCM lakini kwa nini ikawa kwa polepole? tena akitokea LHRC,mafanikio ya nafasi yake ndani ya chama hujayaona?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom