Wanasiasa 40 wapata ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa 40 wapata ajali

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sulphadoxine, Jul 4, 2012.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanasiasa 40walipata ajali mbaya porini,mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.Alipoulizwa na polisi juu ya ajali hiyo na maiti zilipo mambo yalikuwa hivi:


  Polisi:Ziko wapi maiti?


  Mkulima:Nimezizika.


  Polisi:Unahakika wote walikuwa wamekufa?


  Mkulima:Kuna wengine walikuwa bado wanalalamika kwamba awajafa,lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo mi nkuajua tu wanadanganya nikawafukia(nikawazika) wote.
   
Loading...