Wanasheria wetu hamna kitu

Wanasheria wetu hamna kitu

Wanasheria wanakimbilia uwakili tu kupiga dili. Ukitaka huduma yao ni ghali utadhani hawaishi huku bongo.Nawadharau sana nyie wanasheria. Mtikila ndie pekee alikuwa anatutea kwa masuala kama haya.
 
ulitaka tujali matumbo ya mama yako? tulisoma kwa shida halafu tufanye kesi zisizo na malipo hizo kwani tulisoma bure? kama ndio hivyo wewe si ungesoma sheria,,utajuta kwanini mlikimbia sheria na kwenda huko hopeless. tupatieni pesa muone kama hatuwasaidii hapa nchni.

Ukiona mtu anaanza kutukana hiyo ni dalili ya kufilisika kihoja
 
Wanasheria wa Tanganyika watafungua vip kesi inayohusu maswala ya zanzibar..??aina maana kuleta kejeli kwa vitu usivyokuwa na uhakika navyo...
 
Wanasheria wanakimbilia uwakili tu kupiga dili. Ukitaka huduma yao ni ghali utadhani hawaishi huku bongo.Nawadharau sana nyie wanasheria. Mtikila ndie pekee alikuwa anatutea kwa masuala kama haya.
Na ndiyo hayupo tena mkuu, so wanafanya watakalo.
 
ulitaka tujali matumbo ya mama yako? tulisoma kwa shida halafu tufanye kesi zisizo na malipo hizo kwani tulisoma bure? kama ndio hivyo wewe si ungesoma sheria,,utajuta kwanini mlikimbia sheria na kwenda huko hopeless. tupatieni pesa muone kama hatuwasaidii hapa nchni.

unakosea sana na hiyo taaluma labda ulilazimishwa kusoma,,kazi zingine unajitolea hapohapo unapata jina,,,,assume umejitolea kesi ya katiba kuvunjwa ukashida,,,,hapo hujtengeneza Goodwill ...jina lako,,,,,,,kwanza ww mtanzania so ntakua napoteza muda tu maaaa,,,,,,,,,
 
Wanasheria wanakimbilia uwakili tu kupiga dili. Ukitaka huduma yao ni ghali utadhani hawaishi huku bongo.Nawadharau sana nyie wanasheria. Mtikila ndie pekee alikuwa anatutea kwa masuala kama haya.
Mkuu ni kada IPI inatoa huduma bure bila malipo.? tuache unafiki.!!
na kwa taarifa yako mtikila hakuwa mwanasheria.
 
tatzo njaa bro wanasheria njaa tupu unafikiri watafanya maamuzi ya maana kweli hii ndo nchi ya wadanganyika

Nyinyi wachumi mmesaidia nini?dola kila siku inapanda nyie mpo mpo tu kma midoli hata ushauri tu mnashindwa kutoa?madaktari ndo ovyo kabisa hakuna mtu kwenye maana anaekubali kuribiwa na madaktari wa kibongo hata umpe vifaa vyote hawakawii kukukata mkono kwa kuona uvivu wa kukutibu kidonda..bure kabisa..walimu ndo bas watoto wanakaa darasani miaka saba wanamaliza bila kujua kusoma na kuandika...!!mambo ya kada tuyaweke pembeni cha msingi tupiganie katiba yenye uwazi katiba bora isiyokuwa na upendeleo..
 
Elimu, elimu, elimu..............................Lowasa aliona mbali
 
ulitaka tujali matumbo ya mama yako? tulisoma kwa shida halafu tufanye kesi zisizo na malipo hizo kwani tulisoma bure? kama ndio hivyo wewe si ungesoma sheria,,utajuta kwanini mlikimbia sheria na kwenda huko hopeless. tupatieni pesa muone kama hatuwasaidii hapa nchni.

acha kunifurahisha eti ukipatiwa pesa utasaidia,hata ukitoa hoja zako zilizo nzuri hitimisho la uamuzi linatolewa na nani?
Sheria ni kwa wasio kuwa na hela na hopeless people.
Nani alikuambia sheria inatoa haki,haki pekee ni upanga.
 
Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.

Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.

Wacha ulofa hana kitu wew una nini tatizo laana za dr slaa zinawatesa
 
Mkuu ni kada IPI inatoa huduma bure bila malipo.? tuache unafiki.!!
na kwa taarifa yako mtikila hakuwa mwanasheria.

Pro borno maana yake ni nini? kama mtikila hakua mwanasheria basi amewafunika wanasheria na mawakili wengi sana maana huwezi soma constitutional law bila kuona mchango wake mkubwa....
 
Pro borno maana yake ni nini? kama mtikila hakua mwanasheria basi amewafunika wanasheria na mawakili wengi sana maana huwezi soma constitutional law bila kuona mchango wake mkubwa....

Unafahmu maana ya ulichokandika au unasikia tu watu wakitamka.??
 
Unawazo zuri mtoa mada lakini nimefikiria kwa upande mwingine.
Kwamba katiba unayosema inavunjwa sifikirii kama ipo kwa ajili ya wanasheria....ndio maana mtu kama Marehemu Mtikila hakuwa mwanasheria lakini alikuwa mbele kudai haki za kikatiba.
Hivyo hata wewe kama Mtanzania unaweza ukaanzisha huo mchakato....usiwarushie mpira wanasheria.
Tanzania inakuhusu wewe pia.
 
kwani huwaoni wanaotakiwakusimamia sheria ndo makada wa vyama, hujasikia hata kabla ya kuacha ofisi zao wakaingia kugombea uspika, baada ya kuona upepo mkali wakachukua fom za unaibu spika, sasa unategemea watatetea vipi sheria za mita 200 wakati wao ni makada?? wengine wanatoka kuwa viongozi wakubwa wa muhimili mkuu wa nchi wenye kutoa haki wanaenda kugombea urais kwa kupitia chama cha siasa, sasa unahisi ukada wao umeanza lini?? je hakuna kesi ambazo walionekana kulalalia upande mmoja sababu ni makada?? sioni haja hata ya wanasheria wetu kujihusisha na kesi za kikatiba.
 
Wanasheria gani unaowazungumzia Mkuu? Fafanua tafadhali

Petro mbona umehamaki, wamekumwagia ndimu ya jicho nini? Naona jamaa kaingia anga zako, hebu tuambie mmefanya jitihada gani za kumaliza hilo suala kwa njia ya mahakama japo maamuzi yatakuwa ni kwa utashi wa ccm?
 
mwanasheria anasimamia kukiuka haki za kisheria eg. mita 200, mwanasheria huyohuyo anaonekana shujaa anapewa ubunge viti maalumu, anapewa uspika wa bunge halafu anaapa. NIATAISIMAMIA NCHI KWA MISINGI YA SHERIA jamani, kuwa mtanzania ni ugonjwa pia maana unaumia kila uchao.
 
Back
Top Bottom