Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.
Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.