Wanasheria wetu hamna kitu

Wanasheria wetu hamna kitu

Hamna kitu huku wako mbali kwa 200M
kama walivyoamuliwa

Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.

Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.
 
ulitaka tujali matumbo ya mama yako? tulisoma kwa shida halafu tufanye kesi zisizo na malipo hizo kwani tulisoma bure? kama ndio hivyo wewe si ungesoma sheria,,utajuta kwanini mlikimbia sheria na kwenda huko hopeless. tupatieni pesa muone kama hatuwasaidii hapa nchni.

Shetani we, mwanasheria hawezi jibu mavi hayo.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.

Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.

Ebu watake radhi bana!

Unaujua mfumo wetu kweli au unakaa Ulaya?

Ukiangalia hiyo picha na hayo maandishi sijui utapata picha gani?

Nilitegemea wanasheria ndiyo mngekuwa busy kutuelimisha kuhusu haki zetu.Bahati mbaya 90% ya wanasheria wetu wanasubiria uteuzi wa kuwa majaji.

Nilitegemea wanasheria wetu kupiga na kiume mahakamani kufika mpaka ICJ ili kutetea haki za msingi za RAIA wa Tanzania kuchagua Viongozi wao,haki ya kuishi,Haki ya kupiga kura,haki ya kuwa kiongozi hata kama zipo kwenye list ya familia za watawala.Peter bahati mbaya wanasheria wetu wengi siyo wazalendo wengi wao wamekuwa sababu ya maovu kuongezeka dhidi ya raia

ICJ ili uweze kwenda inabidi mpigane na damu imwagike ndo unaweza kwenda kufungua mashitaka....
 
Wewe ndio huna uhakika hujui hata kuwa hakuna kitu kinaitwa Tanganyika unahitaji elimu ,elimu elimu
 
Kweli mkuu ila njaa mbaya -inakufanya ujipendekeze na wewe uingie japo ndani utapata hata makombo
 
Kaka matokeo ya Zanzibar yalivyofutwa tu ,nikaona kama watu wa TLS ,magwiji wa tasnia ya sheria kama wanapasha misuli moto! Maskini ya Mungu Wamelala zaidi ya usingizi wenyewe. We are doomed
 
NI KWELI KABISA WANASHERIA WENGI WA BONGO HAMNA KITU,yaani wanakuwa tayari kufunika ukweli na kuacha kuusimamia ili tu wapate virushwa rushwa na kuendeshwa na serikali hovyo hovyo tu.

Mfano,je jamii ya wanasheria Tanzania (TLS) imetoa tamko au msaada gani kuhusu case ya Zanzibar? Vipi katika uonevu mwingi wa waziwazi unaotokea ktk nchi hii?
 
Kaka matokeo ya Zanzibar yalivyofutwa tu ,nikaona kama watu wa TLS ,magwiji wa tasnia ya sheria kama wanapasha misuli moto! Maskini ya Mungu Wamelala zaidi ya usingizi wenyewe. We are doomed

Hao TLS hamna kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom