Wanasheria nn sababu ya bunge kuvunjwa tarehe 3 August na siyo leo?

Wanataka kukombeleza kila kitu kwenye hazina ya Taifa!
 
Hivi huu ndiyo utaratibu ama imekaaje? Tunaomba mtusaidie.
Elewa shughuli za bunge la 12 zimesitishwa, ila bunge litavunjwa agosti 3. Kuwa hakutakuwa na shughuli nyingine za bunge. Kuvunjwa bunge tarehe 3 agosti ni kutoa fursa ya kuendelea kuwepo kwa mawaziri kwani bunge lingevunjwa maana yake kuwa baraza la mawaziri nalo lingekoma.
 
Sawa mkuu. Tunaomba kujua huu ndiyo utaratibu unaotumika kila mwaka wa uchaguzi ?
 
Mwaka 2020 bunge lilivunjwa mwezi wa 06 na shughuli zote zilikoma.

Ila nadhani kusogeza hadi August lengo ni kutoa nafasi ya kupima upepo wa no reform no election .

Ikiwa pressure itakuwa kubwa watafanya reform Ila ikiwa pressure itakuwa ndogo hawatafanya .

This is simple calculations.

Nachokiona ni uoga umewaingia tayari hasa zile banning za kutokutoka nje n.k
 
Shughuli za Bunge zimehitimishwa leo..27/6/2025
👇👇👇👇
Bunge linavunjwa rasmi kwa tarehe inayotangazwa kwenye gazeti la serikali....3/8/2025.
 
Mbna mie naona limevunjwa, ila mawaziri wataendelea kula posho na marupu rupu had tar 3/8
 
Banning zipi unazungumzia hapo hakuna Cha kusoma upepo Wala nin,reforms hazipo hizo sahauni
 
Mwaka 2020 bunge lilivunjwa mwezi wa 06 na shughuli zote zilikoma.

Ila nadhani kusogeza hadi August lengo ni kutoa nafasi ya kupima upepo wa no reform no election .

Ikiwa pressure itakuwa kubwa watafanya reform Ila ikiwa pressure itakuwa ndogo hawatafanya .

This is simple calculations.

Nachokiona ni uoga umewaingia tayari hasa zile banning za kutokutoka nje n.k
Asante kwa maono mazuri
 
Banning zipi unazungumzia hapo hakuna Cha kusoma upepo Wala nin,reforms hazipo hizo sahauni
Kwani wewe upo serikalini? Unatoa comment ukiwa Nanjilinji huko halafu unapinga hoja za wafanyao kazi ikulu?
 
Back
Top Bottom