Wanasheria ni janga la Dunia!

Wanasheria ni janga la Dunia!

The president of the United States of America, Baraka Hussein Obama is a Lawyer by professional. He pulled America out of the economic recession with a tremendous success. Americans are now more employed than inthe last ten decades!!
 
Mtoa mada ana akili ndogo sana kama za bata jike,halafu siyo bure Tundu Lissu itakuwa alimto.mbea mke wake huyu mjinga.
 
Wewe tokea Tanzania pamoja na umasikini wake imekuwa nchi huru, ilishawahi kuongozwa na mwanasheria gani? Pia naomba nchi 3 duniani zinazoongozwa na wanasheria, na pia zinazoongozwa na wanasheria alaf zimezorota kiuchumi...

Angalizo naomba usiitaje marekani kwa sababu haifanani na hichi ulichokiandika hapa.

Huwa naamini kuna wapumbavu na werevu wenye busara, tafadhali soma comments za watu, alafu ujue ulichozungumza then ujiweke mwenyewe kwenye kundi moja kati ya wapumbavu na werevu.
 
Wanasheria wengi reasoning capacity yao huwa ni zero.mwangalie lissu alivyo mkurupukaji.
 
TUNDU LISU amekushika pabaya nini.Huyu jamaa nampenda hadi naumwa na ndiyo Jembe letu CHADEMA.
 
Kulikuwa na haja gani ya kujificha kwenye mwamvuli wa wanasheria kama nia yako ilikuwa kumshambulia Tundu lissu???
 
Kesi ya Basil Pesambili Mramba inavyochukua miaka mitano kuamua ni mfano jinsi wanasheria walivyo janga la dunia Matatizo yetu ni Uhuru wa mahakama kuendesha kesi ya ufisadi mama kumi.

Theheheheehehe we "Faza" amekuachia laana, mpaka ubongo umegota kufikiria. Mahakama ndio imetunga vifungu hiyo hukumu au sheria ya hiyo hukumu? Kaa chini fanya utafiti wa kutosha uweze kujua Mahakama imetumia vifungu vipi kutoa hukumu, na ukimaliza fanya utafiti pia kujua hiyo sheria ilipitishwa Mwaka gani chini ya Uongozi wa Rais nani? Na wabunge walio sema ndio ili hiyo sheria ipite walikua wa Chama gani?
 
Kuongozwa na watu waliosomea Sheria ni janga kubwa!
Dunia nzima nchi zinazoongozwa na wanasheria zina matatizo ya Kiuchumi!
Hawa watu sijui Elimu yao huwa inawafundisha nini, hawana uwezo wa kutatua matatizo kabisa, wao ni bla blah tu lakin kwa bahati mbaya sana ndiyo wajipendekezaji wakubwa kwenye uongozi na Dunia kwa kiasi kikubwa inaongozwa na hawa hawa,ndio maana matatizo hayaishi!

Jaribu kuangalia nchi zote zinazoongozwa na Wanasayansi, Wahandisi au Wanahisabati zinafanya vizuri sana nafikiri imefika wakati na sisi tuachane na hawa watu kwani Elimu yao haiwafundishi kutatua matatizo zaidi ya blah blah tu na wizi kama Tundu Lisu!

Lisu ni kiongozi wa nchi gani??......isn't Obama a Lawyer na ameweza kuimarisha uchumi wa nchi yake?....mchumi wa TZ amefanya nini kwa uchumi wetu!!!
 
Kuongozwa na watu waliosomea Sheria ni janga kubwa!
Dunia nzima nchi zinazoongozwa na wanasheria zina matatizo ya Kiuchumi!
Hawa watu sijui Elimu yao huwa inawafundisha nini, hawana uwezo wa kutatua matatizo kabisa, wao ni bla blah tu lakin kwa bahati mbaya sana ndiyo wajipendekezaji wakubwa kwenye uongozi na Dunia kwa kiasi kikubwa inaongozwa na hawa hawa,ndio maana matatizo hayaishi!

Jaribu kuangalia nchi zote zinazoongozwa na Wanasayansi, Wahandisi au Wanahisabati zinafanya vizuri sana nafikiri imefika wakati na sisi tuachane na hawa watu kwani Elimu yao haiwafundishi kutatua matatizo zaidi ya blah blah tu na wizi kama Tundu Lisu!

Hata mimi nakubaliana na wewe, maana tangu Tundu Lissu akuibie mkeo inaonekana kabisa wanasheria ni watu wa bla blah!!
 
Back
Top Bottom