Wanasheria Canada Kuishtaki Barrick

Status
Not open for further replies.
Aliyeuawa si ndugu yako, si rafiki yako, si jirani yako na wale si wa dini yako. Ni mtu wa kule. Ipo siku itakuwa kinyume, na kule itakuwa hapa. Watu hawatatoa ushrikiano kwa sababu hukufanya hivyo ulipoona kule.
 
Wazungu wanatushangaa sana kwa matendo yet ya kijinga, adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenzake, watawal wetu wanatuuza kwa mali za baba zetu, wanachukua mali na roho zetu ee Mungu litazame hili na ulikemee.

Kwanini vyama vya upinzani pamoja na kuujua ukweli hawajaitisha maandamano nchi nzima kulaani matendo mabaya ya serikali ya ccm? Tunawaomba viongozi wa upinzani waitishe maandamano nchi nzima na tunataka kuwaona wasomi wote wanajitokeza ili tuamini kwamba maandamano yao sio ya kudai posho tu.

Tuamke kumekucha..tuungane na wakanada hawa. Makinda amekuwa mbogo bungeni, waziri mnene naye hawezi jibu hoja,msigwa na wenzie wanaambiwa watoe ushahidi wa mauaji, kumbe ushahidi umepatikana kanada. Tuwaambie watawala hawa kwamba inatosha..twende barabarani
 
Aliyeuawa si ndugu yako, si rafiki yako, si jirani yako na wale si wa dini yako. Ni mtu wa kule. Ipo siku itakuwa kinyume, na kule itakuwa hapa. Watu hawatatoa ushrikiano kwa sababu hukufanya hivyo ulipoona kule.
Thank you.
 
Kama hizo tuhuma za rushwa za dola milioni 5 kweli zimetolewa mbele ya "Kamati ya Madini ya Bunge la Canada", basi kilichotakiwa kufuata baada ya hapo ni kwamba hao "Wanasheria na watetezi wa haki za Binadamu kutoka Canada" wangechukua hatua ya kuishtaki Barrick kwenye mahakama ya Canada na siyo Mahakama ya Kimataifa. Hiyo ni dalili tosha kuwa kuna walakini mkubwa kuhusiana na habari hii.


You want things to go on your way according to your own rules and procedures. That is not how the world is. The world is for everyone, everything and everybody. Affected people (Tanzaniaians) will seek justice in a way you may not like. Consequenses can be far reaching to achelons of power. I beg you to weigh what others are trying to contribute. The Barrick issue is a human disaster it deserves to be dealt with the ICHR if the man in high office is involved, let justice take its coursw.
 
Kwa nini raia wa Canada wapeleke mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa wakati serikali yetu imenyamaza huko wakitetea the so called wawekezaji??? Aibu ya yote ni documents zinazoonyesha walivyomuonga, siyo tu Mwenyekiti wa kamati ya Bunge lakini pia Rais wa nchi... Ni aibu, wengi sana ndani ya CCM watachotwa pamoja na Wabunge wawili kutoka Upinzani

Ikiwa serikali yetu ni makini, inabidi waingilie kati, vinginevyo serikali nzima ya CCM italazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya Barrick. Hali siyo nzuri kabisa. Barrick inaenda kuiangusha serikali ya CCM

Hapo kwenye bold ni vizuri tuwafaham ili tuwaadhibu on the spot. Hao wa CCM wote ni wezi tu tunajwaua, kuanzia mkuu wao so adhabu yao ni tofauti.
 
Don't blame the nation and Tanzanian, take action against the leaders and the system.People are mobilizd enough just give a way forward no chance for blame again.CDM weka mpngo, join people thru social media&other media, kuandamana mpaka w. Nishat ajiuzulu, ao wabungo waliokula rushwa barick, 3twins, non stop demonstrations until they'v step down
 
Watanzania tuna safari ndefu sana. Na ukichanganya hii serikali yetu iliyojaa wababaishaji, inayotoa majibu mepesi kwenye maswali magumu. Ukichanganya na mindset za Watanzania wenyewe, basi mbele unaoa kuna giza nene!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom