Wanasheria Canada Kuishtaki Barrick | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasheria Canada Kuishtaki Barrick

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jun 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wanasheria na watetezi wa haki za Binadamu kutoka Canada, wanajitayarisha kuishtaki Barrick Gold katika mahaka ya kimataifa ya haki za kibinadamu kutokana na matendo ya kinyama ya shirika hilo nchini Tanzania. Baadhi ya watu ambao wanaweza kuwa mashahidi ni wanasiasa kutoka Tanzania, ambao wamenufaika, na hata kushirki katika tume za kuchunguza matendo tofauti ya Barrick..... Mtashangaa jinsi serikali ya CCM imeoza na kutokujali raia wake. Ni kheri raia afe, kuliko wao kupoteza maslahi yao...

  My Take:
  Kwa nini raia wa Canada wapeleke mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa wakati serikali yetu imenyamaza huko wakitetea the so called wawekezaji??? Aibu ya yote ni documents zinazoonyesha walivyomuonga, siyo tu Mwenyekiti wa kamati ya Bunge lakini pia Rais wa nchi... Ni aibu, wengi sana ndani ya CCM watachotwa pamoja na Wabunge wawili kutoka Upinzani

  Ikiwa serikali yetu ni makini, inabidi waingilie kati, vinginevyo serikali nzima ya CCM italazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya Barrick. Hali siyo nzuri kabisa. Barrick inaenda kuiangusha serikali ya CCM
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Za mwizi arobaini. Leta habari mkuu.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha stori ya bwana mmoja wa kimarekani aliyepiga picha matukio ya mauwaji ya nyamongo, akatuma picha mtandaoni, akakamatwa, akatiwa korokoroni,baadaye akaachiwa.

  The saga continues.

  Kuna ushahidi wa mateso mpaka kwenye you tube.

  Lakini nasikia kuna kajitu kinamziba mdomo hata kiranja mkuu wa mawaziri asiguse ishu ya ndugu zetu waliouwawa na mkoloni mweusi.
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,202
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  Watanzania tumebaki kukimbizana na kikombe cha babu na mifupa ya albino.... Hata wanaojiita wasomi wa chuo kikuu huandamana pale wanapodai posho tu... mauaji ya raia wao wanaona hawayahusu...
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Zionist, hao wabunge wawili wa upinzani wapo kwenye kamati ya madini as well?

  John Mnyika anaweza kusema chochote kuhusu sakata hili akiwa kama mwanakamati na pia waziri kivuli wa madini?
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Halafu tukisema, wanasema JF wana hila mbaya wale wanachama wake. Wanasema hatuna uzalendo. No way tutakaa chonjo tutasema tu. Bora waende mahakamani ili CCM ife kabisa.
   
 7. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 4,997
  Likes Received: 3,620
  Trophy Points: 280
  T.A.N.Z.A.N.I.A..! Jus a lil.bit letterz!God help me, God help uz...! Ready 2 die!
   
 8. n

  nitasemaukweli Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haki ya watanzania inawezekana ikapatikana only through other judicial systems lakini constitution ya Tanzania kweli inafanya kazi nzuri sana according to kikwete na ccm.

  Hata Justice ya Mtanzania lazima tuombe misaada what achievement is this ....thee Republic of Tanzania.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,237
  Likes Received: 14,479
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red not made in Tanzania, only in europe and USA
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,405
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  So says you. Huna ushahidi hata kiduchu? If the issue is such a big deal in Canada as you claim, and it involves the International Court of Justice, we should've heard about it somehow. All we've seen so far is two so-called human rights activists waving protest banners on some street in Canada.
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,463
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kwanza lazima ujue kila kitu nini kinaendelea?au canada wamefanya nini??unataka vyote viwe open au sio???hapa ni JFna sio chombo cha udaku hiki, ni chombo cha kuaminika hata boss wako anaingia humu, so hii habari ni ya ukweli na subiria movie yote uone watu watakavyo bwabwaja,na mmeshaambiwa hii issue serikali iingilie kati sasa why atoe attention kama ni uongo???subiri movie nzima ndio utaelewa kama ni ukweli au uongo.....
   
 13. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,463
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kama vipi hizo documents ziwekwe humu hamna haja ya kuficha kitu chochote, humu ni sehemu ya kuwa open....lazima watambue damu ya binadamu hainunuliwa kama walivyofanya,mazafanta kabisa tena bila hata aibu kabisa.....
   
 14. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,405
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Movie watu wanaangalia kwenye DVD player au TV nyumbani. Tunachodai hapa ni ushahidi. Acha ushabiki usiokuwa na mantiki aloo.
   
 15. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,405
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kama hizo tuhuma za rushwa za dola milioni 5 kweli zimetolewa mbele ya "Kamati ya Madini ya Bunge la Canada", basi kilichotakiwa kufuata baada ya hapo ni kwamba hao "Wanasheria na watetezi wa haki za Binadamu kutoka Canada" wangechukua hatua ya kuishtaki Barrick kwenye mahakama ya Canada na siyo Mahakama ya Kimataifa. Hiyo ni dalili tosha kuwa kuna walakini mkubwa kuhusiana na habari hii.
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Mnakumbula last week Kikwete alivyolalamika alipokuwa ulaya kuhusu NGO's na kwamba polisi wanapompita mwanaharakati mmoja basi ni isue ya kitaifa, alishaona wazungu walivyomshangaa ulaya, sasa kageuka mbongo kuona wamarekani, waeurope na NGO's wao wabaya kwa vile wanachukua habari kama hizo na kuzipeleka huko. Ukweli huuma na yote haya mbio zake ni kuishia ukingoni.
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,526
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kwani wanaoleta mashitaka Canada ni serikali? Ni taasisi binafsi.

  Na nyini raia wa Tanzania pelekeni mashtaka, do something, don't just sit there and blame the government on any and everything.

  Serikali haijali halafu bado tunaililia serikali, serikali is in on it!
   
 18. k

  kiche JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tujaribu kuwa na ubinadamu, hivi wangekufa watu wa damu zetu tungeongea upumbavu huu wa ligi ya kijinga!

  Inasikitisha watu kufanya siasa kwenye roho za watu lakini hawakumbuki kuwa hata vitabu vya dini vinatamka wazi kuwa kumwaga damu ya mtu ni laana,na malipo ni hapahapa duniani,ipo siku watalia na kusaga meno,mungu yupo na ni mwenye haki,inauma sana ila yana mwisho.

  Walitetea rada wakavuliwa nguo sasa wameanza kurukana kuwa ni magamba,walisema wanaua wahalifu kwenye migodi sasa inaanza kudhihirisha udikteta unaofanyika! La ajabu na sasa wanatokea wendawazimu au vibaraka wanatetea upuuzi, ni kwanini ubebe dhambi isiyokuhusu na kupeleka laana ktk familia yako? Fikiria, ruhusu ubongo kufanyakazi badala ya tumbo!!
   
 19. C

  Chesty JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 1,846
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Duh CCM kibano kila kona, hata kupumua hakuna. Inawezekana MAFIA hawa wakaondoka kabla ya miaka mitano kwisha.
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ndio tz hiyo,maslahi ya wawekezaji kwanza,then walalahoi baadae
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...