Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 330
- 603
Rudi nyumbani aiseee...
Kwa nini uteseke ugenini?
Kwa nini uteseke ugenini?
wallahi unaumwa tafuta tibaWewe wametengeneza nadhani mpaka apps. Lakini kwa sababu nina fuatiliwa sana na watu wanakataa kuniambia. Wanasema hawa jui
Mimi naambiwa utajiri wangu ni wa kishetani, lakini hakika ni juhudi yangu. Usijali kaka, maisha yako hivyo.Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Ameibuka kivingineHivi Deo Kisandu aliishiaga wapi Wakuu?
Haya mambo yamekuwa magumu kuongelea kwa sababu ni rahisi kuoneka unaugonjwa wa akili, haşa paranoia. Hii itaumiza wengi haşa vızazi vijavyo. Nlishagusia uko nyuma kuna research inaendelea lakini itafichwa sana. Watu wenye tamaa watadanganywa na movieUkija huku ndio utaokota na kopo barabarani, nenda hospitali ukaangaliwe afya ya akili.
Rudi nyumbani, walozi sana hao watu.Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Kuna mambo mengi yamenikuta niki yaongelea kwa watu nitaoneka kichaa.Hizo waves zinatumwaje kwako mkuu? Au unamaanisha huko nako kuna sangoma waliokubuhu?
Hebu kamuone Neurologist usikute unaka brain tumor huko unadhani umelogwaBaada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Mkuu hii kulogwa umetoa wapi. Sijasema kama nimelogwa.Hebu kamuone Neurologist usikute unaka brain tumor huko unadhani umelogwa
🤣🤣🤣Ameibuka kivingine
MkuuBaada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Hii issue ilianza wakati nina fanya kazı kwenye sehemu ya afya. Hao watu waliopo behind lazıma ni wasomi na wana reputation au ka power flani hivi. Kuna mambo mengi sinaongelea. Haşa kwa upande wa IT wapo vizuri sana kama ningekuwa ni mtu wa kuamini uchawi ningekuwa nimeshamaliza waganga wote. Nadhani kuna wakati juhudi zao zilikuwa nikutaka kuniaminisha mimi kwamba kuna nguvu fulani za giza. Ili nijijengee movie mwenyewe.Kina nani hao
Nielekeze niende nikawasanueHii issue ilianza wakati nina fanya kazı kwenye sehemu ya afya. Hao watu waliopo behind lazıma ni wasomi na wana reputation au ka power flani hivi. Kuna mambo mengi sinaongelea. Haşa kwa upande wa IT wapo vizuri sana kama ningekuwa ni mtu wa kuamini uchawi ningekuwa nimeshamaliza waganga wote. Nadhani kuna wakati juhudi zao zilikuwa nikutaka kuniaminisha mimi kwamba kuna nguvu fulani za giza. Ili nijijengee movie mwenyewe.
Umeshawahi kuwa na line mbili za simu zipo kwenye handset tofauti. Halafu simu yako moja inajipiga yenyewe kuipiga namba yako nyingine. Kwa sababu kuna mambo mengi huko nyuma walisha fanya ndio nikajua hizi ni trick zao nyingine.
Ninahisi kwa sasa ni mimi mwenyewe. Lakini mimi sijuani na Watanzania wengi hapa UK kwa hiyo sijui kama kuna wengine wana fanyiwa. Lakini sijawai kusoma sehemu.Mkuu
Hivyo vitendo unafanyiwa wewe tu au na hao weusi wengine!!?au wewe ni specific coz ya utanzania wako!!?
Mkuu,Kuna mambo mengi yamenikuta niki yaongelea kwa watu nitaoneka kichaa.
Anyways,
Issue ilianzisha kwenye nyumba ambayo nilikuwa nina ishi na jamaa wenyine. Nilipoanza kupata hızo electrical shocks nilikuwa nina hisi kuna kifaa special ambacho kına emit hizo waves. Baada ilipoamia kwa wanafunzi wa vyuo.Mmoja wao akafanya blunder au inawezekana alifanya makusudi ili kunifanya nionekane paranoid. Nilikuwa nipo station ya treni nimekaa kwenye bench halafu nimelalia begi. Nikaanza kupata hizo shocks.
Nikaangalia kama kuna mtu mwenye kifaa chochote vile cha electronic karibu yangu na kama amekielekezea kwangu. Lakini sikuona zaidi ya demu mmoja alikuwa amekaa bench linalofuatia na alikuwa anaongelea kwenye mobile. Hii ilikuwa ni usiku sana kwa hiyo abiria walikuwa ni wachache sana. Nikarudi kuinamisha kichwa kwenye begi tena, nikawa nina hisi labda hakuna kitu. Baada ya muda nikapata nyingine kubwa sana hii ilikuwa kama umekuswa na sindano kidogo. Nikasimama kabisa kuangalia tena hakuna mtu alikuwa na kifaa chochote na wengi walikuwa kama vile wana dose off zaidi ya yule dada alikuwa kwenye simu. Nikatembea hatua chache kwenda kujiegemeza kwenye ukuta kuangalia zaidi. Yule dada akasimama na kuondoka haraka haraka akatoka nje ya station niposema ngoja nikamwangalie anaenda wapi. Alikuwa ameshatokomea. Hapo ndio ikaja possibility ya kuwa inawezekana wanatumia app na mobile rear camera ku emit waves. Natokea kuna matukio mengi ya camera. Lakini pia inawezekana, kama nilivyosema hapo nyuma labda ni kunifanya nionekane paranoia. Na hizo waves zinatoka sehemu nyingine tofauti.
Nyingine ni cctv. Na hizi sio shocks
sensation bali zinakupa maumivu fulani haşa kichwani juzi nilipigwa moja nikiwa station kama sindano vile. Maumivu ni mpaka leo.
Nyingine nadhani zinatoka kwenye mobile tower kupitia mobile signals. Hii ni observation yangu vile vile watu waliopo behind wanaoneka wanajua kazı yao kisawa sawa
Kuna mambo mengine lakini wacha niachie hapo