Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Na
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.

MOD naomba msifute huu uzi
Mimi naambiwa utajiri wangu ni wa kishetani, lakini hakika ni juhudi yangu. Usijali kaka, maisha yako hivyo.
 
Ukija huku ndio utaokota na kopo barabarani, nenda hospitali ukaangaliwe afya ya akili.
Haya mambo yamekuwa magumu kuongelea kwa sababu ni rahisi kuoneka unaugonjwa wa akili, haşa paranoia. Hii itaumiza wengi haşa vızazi vijavyo. Nlishagusia uko nyuma kuna research inaendelea lakini itafichwa sana. Watu wenye tamaa watadanganywa na movie
 
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi:
Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.

MOD naomba msifute huu uzi
Rudi nyumbani, walozi sana hao watu.
Karibuni watachukua unyayo wako na kukunyoa nywele.
Wakikunyoa umekwisha, utakuwa msukule pale Buckingham Castle.
 
Hizo waves zinatumwaje kwako mkuu? Au unamaanisha huko nako kuna sangoma waliokubuhu?
Kuna mambo mengi yamenikuta niki yaongelea kwa watu nitaoneka kichaa.
Anyways,
Issue ilianzisha kwenye nyumba ambayo nilikuwa nina ishi na jamaa wenyine. Nilipoanza kupata hızo electrical shocks nilikuwa nina hisi kuna kifaa special ambacho kına emit hizo waves. Baada ilipoamia kwa wanafunzi wa vyuo.Mmoja wao akafanya blunder au inawezekana alifanya makusudi ili kunifanya nionekane paranoid. Nilikuwa nipo station ya treni nimekaa kwenye bench halafu nimelalia begi. Nikaanza kupata hizo shocks.
Nikaangalia kama kuna mtu mwenye kifaa chochote vile cha electronic karibu yangu na kama amekielekezea kwangu. Lakini sikuona zaidi ya demu mmoja alikuwa amekaa bench linalofuatia na alikuwa anaongelea kwenye mobile. Hii ilikuwa ni usiku sana kwa hiyo abiria walikuwa ni wachache sana. Nikarudi kuinamisha kichwa kwenye begi tena, nikawa nina hisi labda hakuna kitu. Baada ya muda nikapata nyingine kubwa sana hii ilikuwa kama umekuswa na sindano kidogo. Nikasimama kabisa kuangalia tena hakuna mtu alikuwa na kifaa chochote na wengi walikuwa kama vile wana dose off zaidi ya yule dada alikuwa kwenye simu. Nikatembea hatua chache kwenda kujiegemeza kwenye ukuta kuangalia zaidi. Yule dada akasimama na kuondoka haraka haraka akatoka nje ya station niposema ngoja nikamwangalie anaenda wapi. Alikuwa ameshatokomea. Hapo ndio ikaja possibility ya kuwa inawezekana wanatumia app na mobile rear camera ku emit waves. Natokea kuna matukio mengi ya camera. Lakini pia inawezekana, kama nilivyosema hapo nyuma labda ni kunifanya nionekane paranoia. Na hizo waves zinatoka sehemu nyingine tofauti.

Nyingine ni cctv. Na hizi sio shocks
sensation bali zinakupa maumivu fulani haşa kichwani juzi nilipigwa moja nikiwa station kama sindano vile. Maumivu ni mpaka leo.

Nyingine nadhani zinatoka kwenye mobile tower kupitia mobile signals. Hii ni observation yangu vile vile watu waliopo behind wanaoneka wanajua kazı yao kisawa sawa

Kuna mambo mengine lakini wacha niachie hapo
 
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.

MOD naomba msifute huu uzi
Hebu kamuone Neurologist usikute unaka brain tumor huko unadhani umelogwa
 
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.

MOD naomba msifute huu uzi
Mkuu

Hivyo vitendo unafanyiwa wewe tu au na hao weusi wengine!!?au wewe ni specific coz ya utanzania wako!!?
 
Kina nani hao
Hii issue ilianza wakati nina fanya kazı kwenye sehemu ya afya. Hao watu waliopo behind lazıma ni wasomi na wana reputation au ka power flani hivi. Kuna mambo mengi sinaongelea. Haşa kwa upande wa IT wapo vizuri sana kama ningekuwa ni mtu wa kuamini uchawi ningekuwa nimeshamaliza waganga wote. Nadhani kuna wakati juhudi zao zilikuwa nikutaka kuniaminisha mimi kwamba kuna nguvu fulani za giza. Ili nijijengee movie mwenyewe.

Umeshawahi kuwa na line mbili za simu zipo kwenye handset tofauti. Halafu simu yako moja inajipiga yenyewe kuipiga namba yako nyingine. Kwa sababu kuna mambo mengi huko nyuma walisha fanya ndio nikajua hizi ni trick zao nyingine.
 
Nielekeze niende nikawasanue
Huwa siamini haya mambo mpaka niyaone mwenyewe

Ni wa nchi gani hao? Ni wa bongo wenzio ama
 
Mkuu

Hivyo vitendo unafanyiwa wewe tu au na hao weusi wengine!!?au wewe ni specific coz ya utanzania wako!!?
Ninahisi kwa sasa ni mimi mwenyewe. Lakini mimi sijuani na Watanzania wengi hapa UK kwa hiyo sijui kama kuna wengine wana fanyiwa. Lakini sijawai kusoma sehemu.

Vile vile kuna nguvu nyingine sana zinatumika. Nina hisi ni mimi mwenyewe. Lakini I can guarantee you. Hii issue itaumiza wengi sana haşa vizazi vijavyo. Nimesema pesa inayotumika ni nyingi sana na watu wanahusika ni
wengi sana. Hii inahusisha reserch na haiwezi ku base kwangu tu. Ndio maana nina sema kama kuna Mtanzania alianzisha hii issue halafu wazungu ndio wakaidakia na kuwa weka wanaigeria mbele kwa kıpindi fulani. Huyo Mtanzania au Watanzania ingekuwa ruhusa yangu afungwe maisha manake kawatia vizazi vyetu vijavyo kitanzi
 
Kuna mambo mengi yamenikuta niki yaongelea kwa watu nitaoneka kichaa.
Anyways,
Issue ilianzisha kwenye nyumba ambayo nilikuwa nina ishi na jamaa wenyine. Nilipoanza kupata hızo electrical shocks nilikuwa nina hisi kuna kifaa special ambacho kına emit hizo waves. Baada ilipoamia kwa wanafunzi wa vyuo.Mmoja wao akafanya blunder au inawezekana alifanya makusudi ili kunifanya nionekane paranoid. Nilikuwa nipo station ya treni nimekaa kwenye bench halafu nimelalia begi. Nikaanza kupata hizo shocks.
Nikaangalia kama kuna mtu mwenye kifaa chochote vile cha electronic karibu yangu na kama amekielekezea kwangu. Lakini sikuona zaidi ya demu mmoja alikuwa amekaa bench linalofuatia na alikuwa anaongelea kwenye mobile. Hii ilikuwa ni usiku sana kwa hiyo abiria walikuwa ni wachache sana. Nikarudi kuinamisha kichwa kwenye begi tena, nikawa nina hisi labda hakuna kitu. Baada ya muda nikapata nyingine kubwa sana hii ilikuwa kama umekuswa na sindano kidogo. Nikasimama kabisa kuangalia tena hakuna mtu alikuwa na kifaa chochote na wengi walikuwa kama vile wana dose off zaidi ya yule dada alikuwa kwenye simu. Nikatembea hatua chache kwenda kujiegemeza kwenye ukuta kuangalia zaidi. Yule dada akasimama na kuondoka haraka haraka akatoka nje ya station niposema ngoja nikamwangalie anaenda wapi. Alikuwa ameshatokomea. Hapo ndio ikaja possibility ya kuwa inawezekana wanatumia app na mobile rear camera ku emit waves. Natokea kuna matukio mengi ya camera. Lakini pia inawezekana, kama nilivyosema hapo nyuma labda ni kunifanya nionekane paranoia. Na hizo waves zinatoka sehemu nyingine tofauti.

Nyingine ni cctv. Na hizi sio shocks
sensation bali zinakupa maumivu fulani haşa kichwani juzi nilipigwa moja nikiwa station kama sindano vile. Maumivu ni mpaka leo.

Nyingine nadhani zinatoka kwenye mobile tower kupitia mobile signals. Hii ni observation yangu vile vile watu waliopo behind wanaoneka wanajua kazı yao kisawa sawa

Kuna mambo mengine lakini wacha niachie hapo
Mkuu,

Kam alivyosema mmoja wa wachangiaji huko juu, unahitaji msaada wa kitabibu kwa haraka sana. Bila kujali unachotueleza ni kweli au ni mtazamo wako baada ya kupata hiyo shida uliyonayo.

Nasema hivi kwa sababu, kwanza hatujui wewe ni nani hapo Uingereza kwa maana ya nafasi yako katika hiyo jamii. Je, kwa kazi unayofanya huko unaleta tishio lolote la kiusalama mpaka watu wawekeze nguvu, muda, teknolojia na fedha ili wewe udhurike?.

Swala la kusema kuna waves, je zinakuaffect wewe tu peke yako, ilhali watu wa pembeni hawapati shida hiyo?, una microchip uliyowekewa au kifaa chochote mwilini kinacho sababisha hayo mawasiliano yakufikie mwilini?.

Kama hapana, basi hiyo ni mental illness.
 
Back
Top Bottom