Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

Bhanunu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
792
Reaction score
244
Wengi wao ni wale wanao elekea kuchuja kisiasa, na wale vinga'ng'anizi wa madaraka wezi, mafisadi, wasio na ndoto ya maendeleo.
 
Mseven, kachuja , kisiasa, na mkandamizaji anaetafuta style ,
ROBERT MGABE , jinamizi la kizazi kipya, jamii ya Africa haina lakujifunza kwake (sio mfano wa kuigwa)
 
Mseven, kachuja , kisiasa, na mkandamizaji anaetafuta style ,
ROBERT MGABE , jinamizi la kizazi kipya, jamii ya Africa haina lakujifunza kwake (sio mfano wa kuigwa)

Na wewe tukuiteje
 
rais jk analipinga hilo kwa nguvu zote alkadhalka na waziri wetu wa mambo ya nje analilaani hilo kupindukia ni jambo lisilotakiwa kabisa tanzania inafahamika! na limeshatamkwa na viongozi waandamizi limesikika kimataifa,"eti nae mwogilo kajibebesha mamlaka kaenda kulitamka ughaibuni?"ili kujitakatisha kisiasa
 
huyu bwabwa ni msumbufu anatafuta mabwana kinguvu huu uzi ni wapili akitetea upuuzi wake
 
Wengi wao ni wale wanao elekea kuchuja kisiasa, na wale vinga'ng'anizi wa madaraka
wezi, mafisadi, wasio na ndoto ya maendeleo

Kwahyo kupenda ushoga ndo ndoto za maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…