Wanapata Kwa Raha Zao

Wanapata Kwa Raha Zao

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,200
Hapa hakuna cha Baamedi wala kuchunwa wala mchunaji, watu wanaburudika kwa raha zao tu
 

Attachments

  • Kwa Raha Zao.png
    Kwa Raha Zao.png
    57.9 KB · Views: 93
afu wakimaliza wanaenda kupiga yale mambo yetu kwa salama moja, akimaliza mmoja inasuuzwa afu anatumia mwingine.
Hadi raha
 
Unaweza kunywa makohozi ya mwenzako, uchafu tu..
 
Hapo ni uwezo wako tu wa kufyonza.
 
dah! Aise na cmu yangu ya mchina sijaona kitu. Nalog off
 

Hii picha ni kama nishawahi kuiona kwenye video ya GNL Nzamba ya kuitwa 'soda'.
 
afu wakimaliza wanaenda kupiga yale mambo yetu kwa salama moja, akimaliza mmoja inasuuzwa afu anatumia mwingine.
Hadi raha
Mkuu Kongosho wataendaje kupiga yale mambo yenu wakati hicho kinywaji ni kwa jinsia moja tu?
 
Wakipata TB wanaanza kusema wamelogwa na yule jirani, ananionea wivu kwa kuwa nimenunua yeboyebo jipya. (waone, wote wana yeboyebo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom