Wanapata faida?

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
Habari
nilikuwa nailiza haya makampun Kama Yahoomail, gmail,hotmail,vodamail na mengine mengi jamii kama hayo huwa wanapa faida gani toka kwangu mie mteja wao? Nilikuwa nahitaji jua!
 
zile ni portal zina mambo mengi tofauti na email wewe kua mteja wao wanapata faida hizi.

1. Utaangalia matangazo ambayo wao wameyaweka na kuwaingizia wao hela

2. Ukiwa na email inaweza kupelekea kutamani huduma zao nyengine za kulipia kama kununua magame.

3. Wanakua na watu wengi na wanapokua na watu wengi inakua kampuni kubwa na yenye nguvu hii huwasaidia kwenye competition na negotiations. Mfano kampuni inataka ijitangaze worldwide itaangalia ni portal ipi ina user wengi?
 
wengi hutegemea matangazo na hilo ndio kama ilivyo kwetu sisi JF wanaoiendesha wanafaidika na nini ushaelewa enheee...
 
Back
Top Bottom