Habari za jioni waheshimiwa, mo naomba bunge lijalo lipitishe sheria kali kwa wale wanaowasha taa full wakati wa usiku kwani huwa zinaumiza sana, kitu ambacho kinaweza kusababisha kutokuona vizuri na wakati mwingine ajali.
Unakuta madereva wengine wanawasha taa kali kama vile wanawinda maporini usiku. Huwa inakera sana wajameni.
Au kama sheria ipo tafadhali nijulishwe hatua za kufuata.
Ni hayo tuu kwa leo, nawasilisha ....
Ebu jaribu kutoa matumizi ya hizo taa,je ziwashwe mchana tu?Habari za jioni waheshimiwa, mo naomba bunge lijalo lipitishe sheria kali kwa wale wanaowasha taa full wakati wa usiku kwani huwa zinaumiza sana, kitu ambacho kinaweza kusababisha kutokuona vizuri na wakati mwingine ajali.
Unakuta madereva wengine wanawasha taa kali kama vile wanawinda maporini usiku. Huwa inakera sana wajameni.
Au kama sheria ipo tafadhali nijulishwe hatua za kufuata.
Ni hayo tuu kwa leo, nawasilisha ....
Nimeielewa hoja yako.
Mimi nashauri wataalam wetu wa semiconductors na electonics kutoka chuo kikuu, Dit pamoja na Veta wa-designe circuit itakayokuwa na uwezo wa ku kutambua mwanga ikimulikwa kisha inabadili automatically kutoka full light kwenda dimm light.
wirring hiyo ya magari ndio itungiwe sheria kushinikiza kila gari lazima lifungiwe kifaa hicho.
TATIZO LITAKUWA LIMEKWISHA.
Kuwasha taa FULL usiku sio kosa, zimeundwa ili zitumike kuwashwa usiku. Tatizo linakuja pale Dreva anapowasha taa full wakati wa kupishana na gari nyingine ambapo anamfanya Dreva wa gari hiyo nyingine anayopishana nayo asione vizuri. Dreva anayeheshimu uwepo wa wawatumia barabara wengine na kujua kuwa hata hao wengine wana haki ya kutumia barabara kama yeye hawezi kumfanyia mwenzake makusudi hayo ambayo yanahatarisha maisha ya mwenzake. Wajinga na wapumbavu ndio wanaofanya hayo.
Mimi usiku nawasha full light kama hakuna gari napishana nayo, ila niko makini nikiona gari inakuja naondoa full light. Nikiona mwenzangu yuko full, na mimi naweka full ghafla naondoa tena kama hashtuki namwekea full moja kwa moja tukomoane tuu.
Kiustaarabu mwenzako akikushtua ni vyema ukamheshimu, la sivyo na yeye atakuwekea maana unamwumiza
Kuwasha taa FULL usiku sio kosa, zimeundwa ili zitumike kuwashwa usiku. Tatizo linakuja pale Dreva anapowasha taa full wakati wa kupishana na gari nyingine ambapo anamfanya Dreva wa gari hiyo nyingine anayopishana nayo asione vizuri. Dreva anayeheshimu uwepo wa wawatumia barabara wengine na kujua kuwa hata hao wengine wana haki ya kutumia barabara kama yeye hawezi kumfanyia mwenzake makusudi hayo ambayo yanahatarisha maisha ya mwenzake. Wajinga na wapumbavu ndio wanaofanya hayo.
funga spot light anayekupiga full na wewe unafanya yako!
Kweli kabisa hata kwa waenda kwa miguu...hususan tukiwa tumepiga maji
Kuwasha taa FULL usiku sio kosa, zimeundwa ili zitumike kuwashwa usiku. Tatizo linakuja pale Dreva anapowasha taa full wakati wa kupishana na gari nyingine ambapo anamfanya Dreva wa gari hiyo nyingine anayopishana nayo asione vizuri. Dreva anayeheshimu uwepo wa wawatumia barabara wengine na kujua kuwa hata hao wengine wana haki ya kutumia barabara kama yeye hawezi kumfanyia mwenzake makusudi hayo ambayo yanahatarisha maisha ya mwenzake. Wajinga na wapumbavu ndio wanaofanya hayo.
Unamuogesha na lijitaa hiloo........
ila mimi nadhani........ili kupunguza ajali.....serikali ifanye barabara zote za masafa marefu ziwe double road.......katika mfano huu.......Ili hata kwenye kupigana taa........msipatane.......

Khaa!! Hapa inabidi ujisogeze kidogo kwenye drivingKuwasha taa FULL usiku sio kosa, zimeundwa ili zitumike kuwashwa usiku. Tatizo linakuja pale Dreva anapowasha taa full wakati wa kupishana na gari nyingine ambapo anamfanya Dreva wa gari hiyo nyingine anayopishana nayo asione vizuri. Dreva anayeheshimu uwepo wa wawatumia barabara wengine na kujua kuwa hata hao wengine wana haki ya kutumia barabara kama yeye hawezi kumfanyia mwenzake makusudi hayo ambayo yanahatarisha maisha ya mwenzake. Wajinga na wapumbavu ndio wanaofanya hayo.