Na sheria za Tz Ndio sina sababisha wakose ushirikiano na wana nchi,sababu ukitoa taarifa utaanza kusemwa ndani kwanza usaidie Polish,hakuna kumlinda whistleblower.Bunge letu ukiiangalia ile sheria ya makosa ya mtandao ni the opposite of whistleblower protection.
Kuna siku niliweka opinion poll hapa, kuangalia watu wanavyo m support Magufuli kwa kura JF.
JF wakaitoa haraka sana. Eti kuna sheria inakataza wao kuwa na poll kama hiyo.
Vitu vya kijingajinga tunavipenda sana.
Sent from my Kimulimuli
Rais anayetakiwa kuhimiza Watanzania wote wafuate sheria kawaambia askari kwamba wakikuta gari la raia lipo barabara ya mwendokasi walichukue, walipeleke polisi, watoe matairi, wauze, halafu mwenyewe akija waseme lilikuja hivyo hivyo.mkuu, kama bosi mkuu mwenyewe anakiuka si maadili tu bali kuvunja katiba kabisa...wengine wafanyeje?
wacha mbwai na iwe mbwai bana hadi kieweleke utawala wa sheria utakapoanza kuheshimiwa tena!!
umeona eeh?Rais anayetakiwa kuhimiza Watanzania wote wafuate sheria kawaambia askari kwamba wakikuta gari la raia lipo barabara ya mwendokasi walichukue, walipeleke polisi, watie matairi, wauze, halafu mwenyewe akija waseme lilikuja hivyo hivyo.
Rais anayetakiwa kuhumiza utawala wa sheria anahumiza askari waibe.
Halafu wananchi wanamshangilia.
Sent from my Kimulimuli
Hivi Magufuli kwa kauli za kijinga kama hizi na ile ya kuwaita mawaziri wake wapumbavu, watu bado wanamoendea nini?umeona eeh?
NdioMkuu Tatizo ZOEZI LA UHAKIKI halimaliziki, KUPANDISHWA MADARAJA BADO TOKA MWAKA JUZI..sasa ujue watumishi wamefikia hapo walipo..hii nchi yetu sote...
kutojitambua na ubinafsi...Hivi Magufuli kwa kauli za kijinga kama hizi na ile ya kuwaita mawaziri wake wapumbavu, watu bado wanamoendea nini?
Ni kukosa elimu, upofu unaotokana na mahaba, uzalendo wa kijinga au vyote kwa pamoja?
Sent from my Kimulimuli
Sidhani kama TISS wanajihusiaha na siasa.
Isitoshe kuna tetesi kwamba kuna jamaa wapo kwenye mikono salama saa hii wakiwasaidia TISS kuhusiana na hili la juzi.
Unaposema TISS ndiyo wanahuska kuvujisha hizo nyaraka na taarifa kwa maslahi mapana ya nchi unamaanisha nini?
Kwamba nchi itataifishwa? are you serious?
Tufafanulie kiongozi.
Ni kawaida ya limbukeni kulimbuka.Mkuu Tatizo ZOEZI LA UHAKIKI halimaliziki, KUPANDISHWA MADARAJA BADO TOKA MWAKA JUZI..sasa ujue watumishi wamefikia hapo walipo..hii nchi yetu sote...
Usalama wa Taifa kama ungekuwa haujihusishi na siasa mafisadi Mkapa, Kikwete, Magufuli na wengine chungu nzima ndani ya CCM na Serikali wangekuwa Lupango miaka mingi iliyopita. Usalama wa Taifa walibadili jina kimya kimya sasa wanaitwa usalama wa MACCM.
Huwezi kuwa na usalama wa Taifa chini na kukawepo madudu kiasi hiki nchini, ni kitengo cha MACCM hao.
Chief upo?
Naona hii issue imeleta mtafaruku mahali Fulani.
Hapa ndo point ilipo Mkuu.Hakika wenye akili Kubwa tumekuelewa sana.Uzalendo ni kuangalia maslahi mapana ya Taifa bila kujari itikadi za vyama.Uzalendo sio kusifia au kuzomea tu Bali kukosoa na kutoa solution.Wanafki wengi Siku izi wamejificha ktk kivuli cha uzalendo!!!Taifa linaangamia kwa sababu vijana wengi wameingia kwenye ushabiki wa vyama.Wee unadhani TISS wanafanya kazi na ccm tu????
Waliotoa hizo secret Info we unadhani ni raia wa kawaida????
Usalama wanafanya hivyo kwa maslai mapama ya nchi.... Huo ndio uzalendo nchi ikija kutaifishwa kwa madeni ya kizembe nani atakae laumiwa?? Serikali, jeshi la polisi, jwtz au usalama nani atakae laumiwa???
Nipo Mkuu heshima yako. Mitafaruku katika nchi ambayo imeamua sheria zake zote zidharauliwe ikiwemo katiba lazima iwepo. Sheria za nchi sasa ni kutoka maagizo ya mamlaka za juu.
Kwa mara ya kwanza nchini kwetu mtu anachota trillions kutoka hazina bila idhini ya Bunge na usalama wa MACCM Oooops! Wa Taifa kimyaaaa! Haiwahusu!
Suala ni kuvujishwa kwa nyaraka za serikali na watumishi wa serikali je, ni halali kulingana na miiko yao ya kazi?
Uzalendo kuvujisha taarifa na nyaraka za serikali?
Mkuu unaelewa maana ya serikali?
What is miiko?hata zamani wanawake wajawazito walikatazwa kula mayai wakiambiwa eti ni miiko!!!
Ebu niambie Mkuu lipi bora kuheshimu hiyo unayoiita miiko huku unalea matatizo au kuvunja hiyo miiko ukasolve matatizo?
Dah naelewa il atu hii issue ya kuvujisha hizi nyaraka za serikali.
Kama unakumbuka wakati Augustino Mrema alipohamia upinzani mwaka 1995 alikuwa akipata taarifa nyingi sana za ndani yaani jikoni.
Lakini uchunguzi ulipofanywa ikagundulika kwamba walikuwa ni vijana wake wengi ambao aliwafundisha pale Mbweni.
Kitengo kikarekebisha hilo na hata baadae tukazidi kuona watu fulani wakishughulikiwa.
Lakini sasa ni miaka Zaidi ya 20 imepita kweli serikali haijaweza kuweka sera madhubuti za kudhibiti hali hii?
Rejea bandiko langu kule intelligence kuhusu majasusi wa kiuchumi na wengine kwamba kama hakuna jitihada za dhati kudhibiti hili basi tunaonyesha kwamba sisi ni weupe sana kwenye hili suala.