Tuwe na katiba itakayomuwajibisha raisi, isiyompa madaraka makubwa, isiyompa kinga na anaweza kutolewa wakati wowote akitumia madaka vibaya. halafu tuone ni wangapi watakimbilia uraisi.
We! Usitufanye cc hatuna akili, utumbo wako kama huu peleka kilimanjaro, sio jf, umeckia? Kama huyo slaa mtu safi mbona kachamba/kafisadi milioni 140? Harafu ucpange eti fulani ajadiliwe, flani apitishwe tu, we, unafikili wote tunaakili ya kushikiwa kama ww? Kwanza ushakula?
gongo mbayaWe! Usitufanye cc hatuna akili, utumbo wako kama huu peleka kilimanjaro, sio jf, umeckia? Kama huyo slaa mtu safi mbona kachamba/kafisadi milioni 140? Harafu ucpange eti fulani ajadiliwe, flani apitishwe tu, we, unafikili wote tunaakili ya kushikiwa kama ww? Kwanza ushakula?
Acha porojo zako, hana upendeleo ndio maana yake, ulitaka apendendelee ndio uone ana msimamo?Magufuli dhaifu sana,hana maamuzi.kama huamini nenda jimboni kwake uone panavyitia hurumaa.
Tukiacha mambo mengine, Zitto anatufaa sana watanzania. Mambo mengine tuweke kando (uhasama).Hatujadili ni nani anayefaa kuwa Rais bali ni platform au taasisi gani itakayotoa mgombea bora kabisa.CCM si miongoni mwa taasisi bora katika hili
We Mleta hii hoja hujamsikia Dkt Slaa mchana huu kwenye Thread iliyoanzishwa na 'gamba'kawakataza kujadili huu Upuuzi jengeni chama kuanzia ngazi ya shina badala ya kushinda humu kuanzisha habari za kujipendekeza. Mnakera sana kwa hili nipo pamoja na Babu!
hivi wana jf kati ya hayo majina yote kuna mtu ambaye amefikia hatua ya kuwaongoza watanzania kwa kipindi cha miaka mitano uchaguzi utakapo malizika 2015?
Au ni nani mwenye sifa za kusimama na kuwa eleza watanzania kuwa akiwa raisi atatuletea maendeleo na kuwafungulia kesi mafisadi wote..au ambaye atakubali mdahalo na mgombea kutoka upinzani.
Kwa maoni yangu sijaona hata mmoja kwa sababu wote baba yao ni mmoja na mama yao ni mmoja...naona kama chadema wataingia ikulu bila vikwazo vya aina yeyote cha msingi ni wao kumteua mgombea ambaye atakubalika kwa watanzania na atakaye leta matumaini makubwa kwa watanzani.
Tukiacha mambo mengine, Zitto anatufaa sana watanzania. Mambo mengine tuweke kando (uhasama).