Wanaotembea na wake za watu

Mazee kama kuna nishani ya Nobel ya kuhalalisha mambo ningependekeza wakupe.

Sio tu umehalalisha kutembea na mke wa mtu, bali pia umempa makosa huyo mume wake kwamba yeye ndiye kaingilia reli yako kwa kukuchukulia demu wako wa zamani!
Hahaha sema asilimia kubwa ya wake za watu wanaogongwa ni wale wa style hii! Unakuta mtu amepotezana na demu wake japo walikuwa wanapendana sana so uhusiano wao unakuwa kwenye "Doze mode" wakikutana wana resume sasa mbaya zaidi uwe ndio umeshaoa mwanamke wa hivyo, lazma atajiiba akachapwe nao kwa kijana wake wa awali hasa aliemtoaga bikra!
Hivyo jamaa anaposema kaolewa mke wake yupo sahihi kabisa hasa katika minajili ya kiroho!
 
Dah so unamuachia na funguo za geto kabisa yani, ukirudi unajipakulia tu mke wa mwenzio, aisee lets learn that being selfish is the biggest culprit! Tukiacha ubinafsi dunia itakuwa mahala salama sana, usipende fanya usichopenda fanyiwa!
 
Dah hii mbinu katika history tunaiita Assimilation Policy! aisee mkuu we ni kiboko hahaha hio style jamaa hatakaa asanuke yani kwahivyo yule shoga wa mchepuko wako anajua mchezo mnaofanya au? Kwamba yeye anakuwa pale kama geresha tu!
 
Hahahah mzee unamwaga moto tu!
 
Write your reply...mbona tunafanyiana roho mbaya binadamu wote ni ndugu tuwe tunaoneana huruma sometimes shetan anapita tu mambo ya konk master, ky jelly yanatoka WAP sasa huo ni unyama
 
Hii nakataa, kuna mademu huwa wanawaka tu wenyewe, hata maofisini unakuta watoto wanajipitisha pitisha tu ulipo with tempting smiles and postures, mtoto wa kike anataka attention yako tu unaona anateseka unampa namba yako haipiti week kashajimaliza mwenyewe kwenye text! Wabishi wanapotezeaga ila wakware hamna anaesema "NO" kwa free pussy, mwanamke anatengeneza mwenyewe mazingira ya kugongwa yani ikibidi anagharamia zoezi zima yani!
 
Mkuu manengelo mimi mke wa mtu alinifanyia visa mpka uvumilivu ulinishinda, alianza kwa kunilalamikia kua genye zimemzidi mpka anahisi kuumwa, nikamshauri aseme na mumewe, lkn alichonijibu ckutegemea, ikapita mda cku1 akanionyesha pichu yake,kwa kujinasibu kua mimi Navaa pichu za gharama c haba 🙄🙄 cku nyingne nikaambiwa tumbo langu limekua et watu wanasema nina mimba nikafunuliwa tumbo, mwisho wa cku akanitumia picha ya porno nikasema uvumilivu umefika mwisho
 



hyo sawa...hyo ipo zaidi kwa wadada bwana wee lakini sio mke wa mtu eti aanze kuandika mameseji ya kiupupu upupu hvyo eti cha mtu huliwa n mtu...mie nakataa bwana....mayb...mie najua mkaka akionesha interest kwa mdada na bahat mbaya mdada naye akawa alishamwelewa jamaa vimitego vya hapa na pale havikosekaniki
 


lakini inawezekana nyuma mlianza kuongea vitu kama hvyo!kubali usikatae..yaan point yangu hapa mnadai wake za watu wanawatongozaga...kumbe nyie ndo mnaanzaga kwa vishawishi mob ....!lmao
 
lakini inawezekana nyuma mlianza kuongea vitu kama hvyo!kubali usikatae..yaan point yangu hapa mnadai wake za watu wanawatongozaga...kumbe nyie ndo mnaanzaga kwa vishawishi mob ....!lmao
Manengelo:nakwambia ukweli kbsa uyo dada mumewe ni rafiki yangu na hta kumkwepa kote uko ilikua ni kujiepusha nae kulinda urafiki wetu na mumewe ckutaka kutenda iyo dhambi, alafu mumewe ni mkwasi cyo mtu wa nusu chapati chai ya rangi kama mimi, mitego alinifanyia mingi sana mengne cwezi sema asije akapita hpa akaunganisha codes, sbb jamaa kiunoni manati haikosekani
 


hakuna mkamilifu hapa duniani...huwez jua alivutika na nn kwako mpk akajilipua. take care..
 
hakuna mkamilifu hapa duniani...huwez jua alivutika na nn kwako mpk akajilipua. take care..
Nipo zaidi ya kucare mkuu sbbu ninavyomjua mumewe ni mtu katili kuliko hta Issack Mali ya mungu [emoji1] ila nakwambia mtoto kama katuni za kuchora mmh! Mungu ni fundi
 
Ukaamua upige kupunguza msongamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…