Wanaotaka kujenga heshima ya ndoa

Wanaotaka kujenga heshima ya ndoa

hahahahaha aise hiyo kali, utapata wateja wengi na thread za malalamiko ya kina dada yatapungua
Sio Tanzania tu hii hali mkuu ,ni mabadiliko ya hali ya hewa dunia..ndio maana huku Ughaibuni ndio kunaongoza kwa hilo tatizo,.
 
Ndoa nyingi sasa imekua shida Wanaume sijui mmepatwa na matatizo gani? Enzi za mababa zetu hakukuaga na Hizi mambo za kuboost dudu eti ndo uweze kutumika kwa muda mrefu, ndo maana wanawake wengi wanachepuka na imekua kama fashion mlo wa ndani dhoofli hali! Hilo goli1 tu kulipata mtu anaomba pooh!! Why?????
Ulaji mbovu wa chakula kutofanya mazoez wengine wanashindana na madem zao kuka KFC unategemea nin Dada ndo mana munachepuka
 
LIPA KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU

kwetu tu ndio tuna matatizo haya wakuu hata Ughaibuni.
Ningependa mambo mazuri kushirikishana
Tulishazoea dawa za kumeza,kutafuna zenye kaharibu mwili.
Ila nataka nikupatie dawa ya WAJERUMAN ya kupaka tu kidogo kwenye jogoo lazima awike masaa 6 na kuchelewesha pia kufika.

Watu watano wa kwanza kuni PIN(in box) itakuwa bureee ili walete mrejesho.
Naomba uweke no.ya simu kiongozi
 
Boxer za cowboy zina nn jaman... majibu pliz maana ninazo dozen hapa😵😵😵😵
Yaani mm nashindwa kuelewa hata ukisema oil chafu ni dawa mpini mbona utapata wateja!!!!jamani acheni chips na kuvaa boxer za cowboy
 
LIPA KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU

kwetu tu ndio tuna matatizo haya wakuu hata Ughaibuni.
Ningependa mambo mazuri kushirikishana
Tulishazoea dawa za kumeza,kutafuna zenye kaharibu mwili.
Ila nataka nikupatie dawa ya WAJERUMAN ya kupaka tu kidogo kwenye jogoo lazima awike masaa 6 na kuchelewesha pia kufika.

Watu watano wa kwanza kuni PIN(in box) itakuwa bureee ili walete mrejesho.
Mmmm masaa 6 mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom