Heshimu fani za watu Mkuu.CPA hata wa la saba unaisoma mkuu. Mapafu yako tu.
I did not mean it as an offense mkuu. Kuna mtu aliwahi kunipotosha kuwa hilo linawezekana.Heshimu fani za watu Mkuu.
Hi Kamwendo!Dada financial services Kwanza niseme nakupenda. Nakuona humu ndani ni muda sasa.
Napenda tu the way ulivyo.
Tukirudi kwenye mada CPA (T) naweza kusema kwasasa ina soko. Sasa hivi huwezi kuwa muhasibi kama hauna CPA.
Hata kama una Degree ya uhasibu bado huwezi kuwa muhasibu,ukiajiliwa serikalini utatambulika kama afisa hesabu sio muhasibu.
Mimi nilianza kuisotea tangu 2016 bahati mbaya bado sijaipata ila nipo hatua za mwishoni kuhitimu.
Session huwa mbili kwa mwaka, Ni May na November. Pia kuna mid session ukitaka March na August Ada za Mid Session zimechangamka Pepa moja unalipia hadi laki 3. Kama upo Dar ni vizuri mm nimesoma CPA kwa muda wote huo nikiwa mkoa wa Rukwa. Mitihani nilikuwa nafanyia Mbeya Pale Sokomatola Mkapa Hall.
Nilishawishika kusoma hii kitu baada ya boss wangu aliyenipokea mwanzo alikuwa Muhasibu Mkuu now baada ya waraka ni Afisa hesabu.
Faida za kuwa na CPA ni nyingi sana, Mosi ukiwa nayo mshahara wa kuanzia kazi TGS F then unakuwa certified in Public Muajiri ansearch jina NBAA anapata data zako kiusahihi no longolongo.
Wahasibu ni kama wanasheria now huwezi kuwa mwanasheria bila kupitia Law School.
Mungu anisaidie nipate na ACCA
Bodi wameweka maximum limit ya kila level ni miaka 3 yaani kama upo foundation level utapambana apo upite kwenda intrmediate level isizidi miaka mitatu. Kwa level ya foundation mitihani ni 6 na kila mtihani unalipia si chini ya laki moja.Uzi mtamu sana huu
Je hiyo CPA ukianza kuisoma mfululizo kuanzia foundation, intermidiate mpaka final, itakuchukua mda gan hadi kumaliza
Pia, cost zake, kuanzia kuanza kuisoma from scratch mpaka final yaweza kuwa kiasi gan
Yaani haya maisha kuna wakati unajiuliza hivi nilisoma ili nini?Ningejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
Nimecheka sanaa.Mnatuchanganya sasa..si tulikubaliana mwisho wa kusoma ni Degree?
Tukutane November mkuu💪, vipi ndiyo unaanza ama tayari uko intermediate ama final,? mimi ndiyo naanza tena foundationNimecheka sanaa.
Mkuu tusome tu
Nilitaka niipige ila mambo yakamix
Ila tukutane November
Sent from my LM-V409N using JamiiForums mobile app
Asante KWA darasa lako mkuuBodi wameweka maximum limit ya kila level ni miaka 3 yaani kama upo foundation level utapambana apo upite kwenda intrmediate level isizidi miaka mitatu. Kwa level ya foundation mitihani ni 6 na kila mtihani unalipia si chini ya laki moja.
Kwaiyo unaweza kufanya mtihani mmoja mmoja kutegemea muda na uwezo wako kitaaluma.
Kimsingi hakuna specific costs za kuanza hadi kumaliza. Costs inategemea mazingira ulipo,unataka kusoma review classes ama? So ni kujiongeza tu ndugu yangu.
Endelea kubaki na degree yako wenzako wana hadi PhD 😀😀 tukutane kwenye salary utakavopewa buku usilalamike🏃♀️Mnatuchanganya sasa..si tulikubaliana mwisho wa kusoma ni Degree?
Jamani mkuu anauliza hapo msaidieni☝️Na mimi nilikua naomba kupata ufafanuzi kidogo.
Nina degree ya Acturial science je naweza anza cpa kwa level gani.?
Non accounting degree zote nadhani wanaanzia ATEC huko. Binafsi sishauri mtu kusoma CPA. It is a waste of time.Na mimi nilikua naomba kupata ufafanuzi kidogo.
Nina degree ya Acturial science je naweza anza cpa kwa level gani.?
Na mimi nilikua naomba kupata ufafanuzi kidogo.
Nina degree ya Acturial science je naweza anza cpa kwa level gani.?
Sikukupotosha. Hilo linawezekana. Au linatakiwa liwezekane kwa kutumia NQF (ikihuishwa).I did not mean it as an offense mkuu. Kuna mtu aliwahi kunipotosha kuwa hilo linawezekana.
Wala sijamaanisha kudharau fani za watu mkuu.
Foundation level wamenipa ufafanuzi vizuri.Non accounting degree zote nadhani wanaanzia ATEC huko. Binafsi sishauri mtu kusoma CPA. It is a waste of time.
Kwa kweli ni kama vile tunapoteza muda..Ningejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
Ningejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.